Mzigo mpya Wa iPhone 6 na iPhone 6+

Mzigo mpya Wa iPhone 6 na iPhone 6+

albertt

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
339
Reaction score
78
Nna iPhone 6 na 6+ copy grade one zina megapixels 8. Na internal 16GB android version 4.4.4. Price iphone6=350,000 na iphone6+=400,000 ni mpyaaa full box na hata kama upo mkoani Mali unatumiwa gharama za usafiri ni juu yetu kwa jumla au rejareja nichek 0716385824
 

Attachments

  • 1435154426329.jpg
    1435154426329.jpg
    29.7 KB · Views: 855
even though its a copy but i phone having android os thats too much bro!
 
Muuzaji ana upeo mdogo sana wa kununua bidhaa na kuuza (uchuuzi)
 
iphone ni java/j2ME...android unatudanganya ndugu...kawauzie kamsamba

Nilitaka nikujibu inbox but inabidi nikuaibishe hapahapa tangu lini iPhone iwe na java instead of ios na hata hvyo registry file system za iPhone huwa zina tumia c-objective language na sijui tatizo lenu ni nn mpaka saiz nimeisha sema hizi ni copy na operating system yake ni android bt u keep on speaking nonsense kwenye audience kutaka misifa tuu.Mpaka saiz nimesha uza box 4 sasa endelea kulala na chuki na kulala na njaa pia.
 
Muuzaji ana upeo mdogo sana wa kununua bidhaa na kuuza (uchuuzi)

Si ajabu hata ka bachelor holder ka fani yyte huna shut up and just watch dreamers getting money
 
Nini tofauti kati ya Kopi na feki !
 
Nimeshaziona hizo cm , zinatumia android na ukiingia settings zinataka google account ..

Mleta tangazo yuko sahihi !!
 
Mkuu hiyo android as OS ndiyo ilinifanya niamini huu mradi wa jamaa ni white elephant!!! Can't handle at all. Hapo MCHINA kazidisha manjonjo hadi kaharibu
even though its a copy but i phone having android os thats too much bro!
 
Mkuu hiyo android as OS ndiyo ilinifanya niamini huu mradi wa jamaa ni white elephant!!! Can't handle at all. Hapo MCHINA kazidisha manjonjo hadi kaharibu

Haaa haaa basically zile simu siyo iPhone kabisa , hazina element hata noja ya iPhone Ila housing ni ya iPhone na home button Kama iPhone ...
 
siyo copy wala clone, ni fake. na siyo iPhone, zina jina lake tu hizi amuulize mtengenezaji! lakini kwa nini mtu anunue substandard smartphone kwa 450k wakati anaweza kupata smartphone ya maana tu kwa bei hiyo? hata kama ni mpenzi wa iphone anaweza kupata iPhone 5 nzuri tu kwa bei hiyo! haina tofauti na kununua rolex fake, ni ushamba tu!
 
Back
Top Bottom