Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
siyo copy wala clone, ni fake. na siyo iPhone, zina jina lake tu hizi amuulize mtengenezaji! lakini kwa nini mtu anunue substandard smartphone kwa 450k wakati anaweza kupata smartphone ya maana tu kwa bei hiyo? hata kama ni mpenzi wa iphone anaweza kupata iPhone 5 nzuri tu kwa bei hiyo! haina tofauti na kununua rolex fake, ni ushamba tu!
Wabongo kwa kutaka show off utaweza? Mtu kiwango chako ni huwawehi au tekno unataka super brand za iPhone😳