Mzigo Huooooo NDANI YA 109

Mzigo Huooooo NDANI YA 109

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
285198_571760839518097_1853917336_n.jpg
 
ama kweli lazima iwe hivyo. tena huko ni Masama
 
Kaka mmekosa wote. Ngoma ya Tukuyu - Mbeya, 109 ya mjomba wangu anawahi mnada kijiji cha ushirika. Ametokea Seme. Ngoma mpaka leo ipo inadunda kama mpya. Hakuna kusukuma, starter ikigoma tunapiga hendeli.
 
Hawa wakipata ajali utawasikia wakisema ni mipango ya MUNGU wakati ajali wanaitafuta wenyewe
 
Back
Top Bottom