mbona nimeskia sauti ya mke wake tu. au kwa vile sijaimaliza mpaka mwishoWote
Shetani ana nguvu sana
Jr
[/QUOT
Mkiona paroko anaamua kuipa MGONGO dunia mnadhani ni kitu chepesiiiii?!!!
Ndo Mana sipendi kubishania Mambo ya DINI na IMANI kwani mwenye kuwa DEEP....Wala Hana haja ya kutumia vuvuzela.....na Wala HATUNA haja ya kujua hiyo DEPTH yake.
Moyo wake pekee ni SHAHIDI na unatosha.......
Wabillahi tawfiq
Kwi kwi kwi sasa si alipata washkaji wapya wanaoendana NAYE baada ya kuwa BORN AGAIN.....Anasema hata simu kutoka kwa washikaji zilikata kabisa!! Kipindi yupo kwenye game akiwa na shida hata ya laki 8,atampigia tu mdau mmoja na kutumia, lakini toka ameacha hata simu hawapokei!!!
Kule hakuna hizo!!! Sana sana atakwambia yaheee njoo tule CHAKULA CHA MTUMEKwi kwi kwi sasa si alipata washkaji wapya wanaoendana NAYE baada ya kuwa BORN AGAIN.....
😂😂😂Anasema hata simu kutoka kwa washikaji zilikata kabisa!! Kipindi yupo kwenye game akiwa na shida hata ya laki 8,atampigia tu mdau mmoja na kutumia, lakini toka ameacha hata simu hawapokei!!!
Tatizo si alikoenda...tatizo ni ukigeugeu wake mana imeandikwa ya KAISARI MPE KAISARI....kupanga ni kuchagua,it's so simple.....lkn watu wanapuliza nzumari na mavuvuzela kana kwamba kumetokea uvumbuzi wa BARA JENGINE😂😂😂Kule hakuna hizo!!! Sana sana atakwambia yaheee njoo tule CHAKULA CHA MTUME
Kidogo ninacho fahamu ni kwamba...mzee hutunga nyimbo zooote za bendi yake...kisha huwapa waimbaji tofauti tofauti na yeye huimba moja au mbili katika album nzima...kwa hiyo wafuasi wake wanalijua hilo ndo mana wanamrefer mzee Yusuph na si mkewe katika huo wimbo mpya...kifupi mzee ndo injini ya bendi pia hupiga Kinanda yaani ye ndo Mtaalamu.Sijaelewa hapa yani kaachia nyimbo alafu muimbaji ni mke wake ??? Kweli wa tanzania wengi wao roho mbaya zinawasumbua yani mtu anatamani mwenzie aanguke ili apate la kusema.
Kidogo ninacho fahamu ni kwamba...mzee hutunga nyimbo zooote za bendi yake...kisha huwapa waimbaji tofauti tofauti na yeye huimba moja au mbili katika album nzima...kwa hiyo wafuasi wake wanalijua hilo ndo mana wanamrefer mzee Yusuph na si mkewe katika huo wimbo mpya...kifupi mzee ndo injini ya bendi pia hupiga Kinanda yaani ye ndo Mtaalamu.
Lango la jiji na club travetain ileeee naiona kwa mbaali zinanita.
nakajibebee mijamama ya udi na piko kama zamani.
Shetani huyu wa kuzimuShetani yupi huyo jamani mbona sielewi?