Mzee Yusuf sasa rasmi kwenye taarab, aachia wimbo

Shetani ana nguvu sana

Jr
[/QUOT
Mkiona paroko anaamua kuipa MGONGO dunia mnadhani ni kitu chepesiiiii?!!!

Ndo Mana sipendi kubishania Mambo ya DINI na IMANI kwani mwenye kuwa DEEP....Wala Hana haja ya kutumia vuvuzela.....na Wala HATUNA haja ya kujua hiyo DEPTH yake.

Moyo wake pekee ni SHAHIDI na unatosha.......

Wabillahi tawfiq
 
Anasema hata simu kutoka kwa washikaji zilikata kabisa!! Kipindi yupo kwenye game akiwa na shida hata ya laki 8,atampigia tu mdau mmoja na kutumia, lakini toka ameacha hata simu hawapokei!!!
Kwi kwi kwi sasa si alipata washkaji wapya wanaoendana NAYE baada ya kuwa BORN AGAIN.....
 
Sijaelewa hapa yani kaachia nyimbo alafu muimbaji ni mke wake ??? Kweli wa tanzania wengi wao roho mbaya zinawasumbua yani mtu anatamani mwenzie aanguke ili apate la kusema.
 
Ta
Kule hakuna hizo!!! Sana sana atakwambia yaheee njoo tule CHAKULA CHA MTUME
Tatizo si alikoenda...tatizo ni ukigeugeu wake mana imeandikwa ya KAISARI MPE KAISARI....kupanga ni kuchagua,it's so simple.....lkn watu wanapuliza nzumari na mavuvuzela kana kwamba kumetokea uvumbuzi wa BARA JENGINE😂😂😂
 
Sijaelewa hapa yani kaachia nyimbo alafu muimbaji ni mke wake ??? Kweli wa tanzania wengi wao roho mbaya zinawasumbua yani mtu anatamani mwenzie aanguke ili apate la kusema.
Kidogo ninacho fahamu ni kwamba...mzee hutunga nyimbo zooote za bendi yake...kisha huwapa waimbaji tofauti tofauti na yeye huimba moja au mbili katika album nzima...kwa hiyo wafuasi wake wanalijua hilo ndo mana wanamrefer mzee Yusuph na si mkewe katika huo wimbo mpya...kifupi mzee ndo injini ya bendi pia hupiga Kinanda yaani ye ndo Mtaalamu.
 
Kweli

Lango la jiji na club travetain ileeee naiona kwa mbaali zinanita.
nakajibebee mijamama ya udi na piko kama zamani.

Mkuu hapo lango jiji hatari...unaweza ingia jumatatu ukafikiri weekend.. usipoangalia pale kama una hela sa urithi zote waweza wacha sio kwa mijimama ile dah.
 
Port-au-Prince, Haiti

Rasmi ! Taarab yatua Amerika ya Kati

Visiwa vya Central America Hongera kwa kuupokea muziki wa modern taarab na kuupaisha kupitia kundi maarufu la Orchestre Septentrional

Source : Orchestre Septentrional d'Haïti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom