MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,016
- 16,813
Asante sana cleverbright wangu,hakika wewe ni kisima cha maarifa.
Nimeisoma yote bila kuacha hata mstari mmoja.
Ruttashobolwa pitia huku....
kwa hii stori yako mbona inaonesha wazi kabisa kuwa dereva zungu alikuwa na kila dalili za uzembe wakati akiwa anaendesha gari?maana ajali na kina issa kijoti kavamia na hii ya pili ilosababisha kifo chake pia kavamiana uso kwa uso na lorry...huoni kuwa jamaa nae alikuwa rough and negligent driver?halafu nlishawahi kusikia huyo zungu ni mwendesha ovyo sana wa magari japo alikuwa ni dereva mzuri...but always bad play has no good end!
Chichu akaongeze madawa yarabi.Umemaliza yote.....
Tuache unafiki. ..Halafu bado tunakasirika watu wanapotudharau wanawake?? Mwenyeezi Mungu anisamehe sana na aniepushe na hiki kikombe inshaallah! How can you share a D**k na maradhi yote haya jamani! Wanawake wengi wanaolewa mitala (sio wote) wamegeuka washirikina nusura wawe wachawi, kila mmoja anapulizia kwake!
Hata sishangai why jamaa maendeleo yake kurudi nyuma badala ya kusonga mbele, huku "shuntama" & huku "limbwata* & kule "nyama ya *chi!! Saa ngapi hasichanganyikiwe! ! Na hapo bado ni kama anatafuta sababu ya kuongeza mwingine!!
*Zile ndude zingekua kama kifutio sijui ingekuaje! !
mkuu hiyo 'Vepee' imekaa kikike kike
Tuache unafiki. ..
Ukitaka ya kwako peke yako hama dunia.
Bora hata umjue mke mwenzio kuliko kutojua kabisa una share na nani.
Ni wanaume wachache sana, ila wapo wanaojitunza kwa wake zao pekee.
Kipo cha kujifunza na nimeshajifunza tayari.asante na karibu sana nifah wangu ila kilichowaliza na kuwasikitisha wengi ni kwamba siku ya kesho ilikuwa Dereva Zungu aende akatoe na yeye basi lake binafsi jipya bandarini ( coastal mayai ) lakini kama haitoshi usiku huo huo alipopata ajali hiyo Mke wake ambaye ni Mwanasheria mzuri sana hapa jijini kama si nchini na yeye alikuwa anajifungua Agha Khan Hospital lakini cha mwisho kabisa kilichotuacha watu hoi hasa juu ya Kifo cha Dereva Zungu na huyo Mwanafunzi wa Chuo cha DSJ Mr. Deo ni kwamba ile safari ya study tour ya kwenda Mkoani Mbeya Dereva Zungu HAKUTAKIWA kwenda na Bosi wake ila ALIILAZIMISHA huku akileta tafrani pale ilipo Kampuni yao na wakati huo huo hata huyu Mwanafunzi wa Chuo cha DSJ Mr. Deo ambaye alikuwa ni Waziri Mkuu Serikali ya Wanafunzi DASJOSO na yeye pia HAKUTAKIWA kusafiri ila ALILAZIMISHA huku akigombana na Rais wa Serikali ya Wanafunzi wakati huo Mr. Isaac Mipao ( ambaye sasa ni Mtangazaji wa Habari wa ITV hasa zile habari za Saa ) huku Marehemu Deo akimtuhumu Mipao kwa UPENDELEO ndipo baada ya kikao kizito ikabidi Mr. Mipao awakate Viongozi wengine wa DASJOSO waliokuwepo safarini na nafasi yao akachukua Marehemu Deo ndipo mwishowe yakatokea yaliyotokea. kuna kitu cha kujifunza hapa jamani!
nilionaga alichambwa sana na duller square somebody chiku wa mzee yusuph sjui ndo anavojiita pyuuu amekaa kishambenga sana nampenda leyle yuko kimya msiri ana stahmili anadefinition yote ya kuwa wife materialIla huyu bi mdogo ni mshakunaku sana, Leila yuko poa tu
mchezaji wa ndanda fc.......teh teh teh teh!😀😀😀😀Mzee Yusuf ndo nani
Ana uswahili hadi love bite anatupia instagram, ni limbukeninilionaga alichambwa sana na duller square somebody chiku wa mzee yusuph sjui ndo anavojiita pyuuu amekaa kishambenga sana nampenda leyle yuko kimya msiri ana stahmili anadefinition yote ya kuwa wife material
Uko sawa kabisa kwa sababu kila kitu chako cha maisha binafsi kinakuwa nje nje. Wakati mwingine, hadi unavyolala!Mh! kuwa Celebrity kazi sana!
atakua amejua mapenzi ukubwani si bureAna uswahili hadi love bite anatupia instagram, ni limbukeni
hahaha umeona eeehhiyo ni sehemu ya verse yake ya nyimbo mpya.
Funguka kidogo mkuuMkuu usiwe unatutajia majina mengine kwani huwa yanatukumbushia ile ajali mbaya ya ile bendi ya TAARAB iliyowaua akina Issa Kijoti na wenzie na tunabaki kutokwa tu na machozi. hakika siku ya HUKUMU mbinguni kuna Watu Mwenyezi Mungu ATAWAUNGUZA vibaya mno. naomba niishie hapa!