pambe samanini
JF-Expert Member
- Oct 27, 2015
- 434
- 231
Adui ni adui tu hata kama anakupongeza. Nimejifunza mambo machache sana kwa hotuba nyingi Mzee warioba tokea kwenye mchakato wa kupata katiba mpya mpaka leo, ninamuelewa sana asemavyo na weledi wake katika taifa letu la Tanzania. Adui ni adui tu hata kama umenyamaza.
Hotuba ya warioba zinapigwa vita kubwa sana na watu wasiolitakia taifa hili memma. Vijana wengi waliovaa vyeo wanadhani ndiyo Kinga na mlango wa kupitishia hoja zao za ovyo. Watu wengi wamejitokeza mara kadhaa kutaka kumkatisha tamaa na kuharibu image yake kwa watanzania lakini imeshindikana hata sana.
Mzee warioba anajua vita na siyo vijembe kama za viongozi wake ndani ya chama. Inashamgaza kusikia Mzee warioba asitaafu vizuri kwa kuheshimu viongozi, sasa dharau ipi kaonesha warioba? Viongozi wake walitakiwa kumtafuta Mzee warioba na kufanya naye mazungumzo yenye tija kwao na taifa siyo kwa Mzee warioba kwani yeye anayo mawazo mbadala juu ya taifa Tanzania na watu wake, hatari kubwa anapigwa vijembe na urojobwa hotuba za ovyo kabisa . Adui ni adui tu hata kama unamsaidia kuwa anavyotakiwabkuwa.
Kauli za vijana viongozi haziwezi kumtisha warioba kama wanamtaka wamtafute kwenye chama chao, kwa bahati mbaya sana mambo ya chama siku hizi yanaitishwa press conference kulalamika tu, kuongea uwongo tu, kulia lia tu na kutukana ambako hakuoneshi njia mbadala.
Tumechelewa kushambulia hoja za watu wenye mawazo mbadala kama akina Gwajima, warioba, na wengine kwani tayari jamii inawaelewa kila kukicha halafu siku kwa siku viongozi wao wanachafuka sana.
Tuondoe uadui ili turuhusu mawazo mbadala kuendesha mambo ya taifa.