tunu ya taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Katuni ya BoT: Utajiri wa kweli siyo kumwaga pesa chini, inabidi uithamini kama tunu ya Taifa

    Wakuu hii Katuni iliyopostiwa na Bot inasema kuwa kumwaga pesa chini siyo njia ya kuonesha kuwa nazo ila inabidi kuithamini kwani ni tunu ya Taifa, na mtu akitaka kutunza aziweke kwenye chombo maalumu kilichoandaliwa
  2. pambe samanini

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba ni tunu ya Taifa

    Adui ni adui tu hata kama anakupongeza. Nimejifunza mambo machache sana kwa hotuba nyingi Mzee warioba tokea kwenye mchakato wa kupata katiba mpya mpaka leo, ninamuelewa sana asemavyo na weledi wake katika taifa letu la Tanzania. Adui ni adui tu hata kama umenyamaza. Hotuba ya warioba...
  3. K

    JamiiForums Tanzania MBOWE NI TUNU YA TAIFA

    Mheshimiwa MBOWE ni mkomavu na mwanasiasa aliyeweka maslahi ya Taifa mbele. Sisi wafia CHADEMS hatupaswi kutekwa na propaganda za mtu aliyeweka maslahi yake mbele badala ya nchi yake ya Asili. Mheshimiwa MBOWE pamoja na misukosuko ya kisiasa iliyomfika, bado alivaki nchini pomoja na familia...
  4. joseph_mbeya

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi ni tunu ya taifa

    Aiseh nimeangalia hii mahojiano ya Dakika 45 na mwambukusi aiseh nakuomba uende ukatazame.
Back
Top Bottom