Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,328
- 11,463
Halafu mimi huwa nafahamu kuwa Zee Korofi na mpwayungu village ni IDs za mtu mmojaWell spoken



Mungu anisamehe
Halafu mimi huwa nafahamu kuwa Zee Korofi na mpwayungu village ni IDs za mtu mmojaWell spoken



I am a manKuja nikupe mapenzi Moto Moto mrembo utajikuta unageuka tu nyuma
Na usamehewe.
Sasa mimi ndiyo napenda maisha hayo. Hope ningeishi vizuri sana.Wewe ukienda kuishi mikoa migumu kama geita na katavi utakufa kwa depression.......mikoa hiyo wastaarabu ni 3% tu....ukipatwa na shida hakuna anaehangaika na wewe...
Wewe si ni Zee Korofi 😂😂Sasa mimi ndiyo napenda maisha hayo. Hope ningeishi vizuri sana.
Mwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii... Zukuru Mgikuru














Ile ID yako nyingine huwa unaitumia kupiga matukio au sio!Mwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii... Zukuru Mgikuru![]()
Nina moja tu mzeeIle ID yako nyingine huwa unaitumia kupiga matukio au sio!
Itakuwa akicheka anakicheko kibayaKuna sehemu Ukienda mzee kama Zanzibar jifunze kugeuka nyuma.
There is a saying in English "The one who laugh last understand least". Ila linaweza kuwa tatizo kuwa hucheki au labda hujapata kitu cha kukuchekesha. Tatizo lingine linaweza jitokeza pale utakapocheka na ukajikuta una kicheko kibaya![]()


