Zee Korofi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 1,604
- 1,440
Well spokenDuuh mkuu hayo sio maisha ukiendelea kuishi hivyo kuna vitu vingi na fursa nyingi utazikosa na mwisho kuona jamii aikupendi lakini kumbe wewe ndo tatizo jifunze kuwa karibu na watu jichanganye na jamii yaan badirisha mfumo wako wa maisha uta enjoy Sana kwani mambo nimengi
Kuna kusaidiana kesho.
Kuna kupeana michongo na deals .
Kuna kujitengenezea connection mbali mbali kwani ndo connection ndo funguo ya mafanikio mbalimbali ya kimaisha.
Anza kubadilila mkuu bila hivyo maisha utayaona magumu sana na mambo hayaendi kabsa kumbe tatizo ni wewe.
Wewe ni fallarGood afternoon brothers. Majukumu ya malezi yanakwendaje?
Uhusiano wangu na jamii;
Tangu nazaliwa na kuanza kujitambua, mzee wangu amenilea malezi ambayo naona magumu yake na athari zake muda huu. Nina 'traits' za kushangaza ila naomba mjikite kwenye kutoa ushauri na ufafanuzi tafadhali;
Mpaka umri huu sinywi pombe na sivuti sigara, sikati kona katika 'circular way', yaani ni lazima nitengemeze nyuzi karibia tisini, toka udogo nimelelewa hivyo.
Mpaka muda huu nakumbuka sijawahi kucheka, ila kutabasamu kwa sekunde zisizozidi 10. Huwa nacheka nikiwa peke yangu tu.
Huwa nalia peke yangu nikiona watoto wadogo wanakufa kwa kukosa pesa za matibabu, wanyama wanateseka n.k, huwa hata chakula hakipiti. Siku yangu huharibika kabisa.
Sili na sikumbuki kama nimewahi kula kwa watu au jirani, nimelelewa hivyo, hata nikiwa na njaa ni lazima nirudi nyumbani ndipo nile.
Nimefundishwa na mzee kutocheka hata na ndugu yangu, endapo hakuna kitu cha msingi cha kucheka, na nipo hivyo.
Nikitembea sigeuki nyuma, na nikigeuka basi ni kwa haraka mno na ni kichwa pekee tu, na siyo mwili wote. Napenda mno kufanya mapenzi.
Sijui ku'fake' kicheko au kilio, ukinichekesha hata kwa lisaa lizima, kama sijafurahi nitaishia kutabasamu tu tena kwa mbali.
Mzee amenifundisha kutoogopa yeyote hata akiwa mtu mkubwa kiasi gani, ila niheshimu kila mtu.
Haya yananitesa mno na kupelekea watu kuniogopa na kuniona kama 'maniac', hasa kwa hili la kuwa na uso mkavu na kutoigiza kicheko wala tabasamu. Nimekosa baadhi ya fursa kwa sababu hii. Mzee ameniharibu mno kwani sipendi hali hii, na ingekuwa amri yangu nisingekubali.
Hii ndiyo hali yangu halisi, sijui nitatokaje
Mpwayungu jiheshimu tafadhali.Wewe ni fallar
Ishu sio kucheka ishu ni kuishi vizur na jamii inayokuzunguka mkuu yaan huyo kwa maisha hayo alio nayo maanayake hawezi ku interact na watu sasa unafikili ni maisha gani hayo hata wewe ninauwakika haushi kama yeye anavoishi hayo maisha kubali ukatae ila ukweli unaujua wewe mkuuKabsaa mwanaume unataka kuchekacheka hiyo ni tabia ya kike bro, mzee wako alikufunza vyema
Inanipa upweke mno hali hiiKabsaa mwanaume unataka kuchekacheka hiyo ni tabia ya kike bro, mzee wako alikufunza vyema
Ni kweli, na ndiyo sababu nipo JF muda mwingi.Ishu sio kucheka ishu ni kuishi vizur na jamii inayokuzunguka mkuu yaan huyo kwa maisha hayo alio nayo maanayake hawezi ku interact na watu sasa unafikili ni maisha gani hayo hata wewe ninauwakika haushi kama yeye anavoishi hayo maisha kubali ukatae ila ukweli unaujua wewe mkuu
Mkuu unanuka tope tuBado uliwe 0713
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi mbona watu ni wapuuzi kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kunguru wa Manzese umezingua aiseeIshi na watu mtoa madaView attachment 2279270
Technically we ni mchawiGood afternoon brothers. Majukumu ya malezi yanakwendaje?
Uhusiano wangu na jamii;
Tangu nazaliwa na kuanza kujitambua, mzee wangu amenilea malezi ambayo naona magumu yake na athari zake muda huu. Nina 'traits' za kushangaza ila naomba mjikite kwenye kutoa ushauri na ufafanuzi tafadhali;
Mpaka umri huu sinywi pombe na sivuti sigara, sikati kona katika 'circular way', yaani ni lazima nitengemeze nyuzi karibia tisini, toka udogo nimelelewa hivyo.
Mpaka muda huu nakumbuka sijawahi kucheka, ila kutabasamu kwa sekunde zisizozidi 10. Huwa nacheka nikiwa peke yangu tu.
Huwa nalia peke yangu nikiona watoto wadogo wanakufa kwa kukosa pesa za matibabu, wanyama wanateseka n.k, huwa hata chakula hakipiti. Siku yangu huharibika kabisa.
Sili na sikumbuki kama nimewahi kula kwa watu au jirani, nimelelewa hivyo, hata nikiwa na njaa ni lazima nirudi nyumbani ndipo nile.
Nimefundishwa na mzee kutocheka hata na ndugu yangu, endapo hakuna kitu cha msingi cha kucheka, na nipo hivyo.
Nikitembea sigeuki nyuma, na nikigeuka basi ni kwa haraka mno na ni kichwa pekee tu, na siyo mwili wote. Napenda mno kufanya mapenzi.
Sijui ku'fake' kicheko au kilio, ukinichekesha hata kwa lisaa lizima, kama sijafurahi nitaishia kutabasamu tu tena kwa mbali.
Mzee amenifundisha kutoogopa yeyote hata akiwa mtu mkubwa kiasi gani, ila niheshimu kila mtu.
Haya yananitesa mno na kupelekea watu kuniogopa na kuniona kama 'maniac', hasa kwa hili la kuwa na uso mkavu na kutoigiza kicheko wala tabasamu. Nimekosa baadhi ya fursa kwa sababu hii. Mzee ameniharibu mno kwani sipendi hali hii, na ingekuwa amri yangu nisingekubali.
Hii ndiyo hali yangu halisi, sijui nitatokaje
Huwa nachukia mno mtu anapoleta upuuzi kwenye vitu serious.Muongo
Alivyokulea Mzee wako ndivyo nitakavyolea wanangu.Good afternoon brothers. Majukumu ya malezi yanakwendaje?