Mzee wa upako na magari

Mzee wa upako na magari

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,784
Reaction score
3,205
Naangalia channel muda huu naona eti kuna watu wanatoa ushuhuda baada ya kupewa sabuni kutoka kwa mzee wa upako wakaogee watapata magari.

Hii imekaaje wakuu?
 
Naangalia channel mda uu eti kuna watu wanatoa ushuhuda baada ya kupewa sabuni kutoka kwa mzee wa upako wakaogee watapata magari..ii imekaaje wakuu

Watu na imani zao hao hata mimi nimewasikia nikabaki nashangaa.
 
Naangalia channel mda uu eti kuna watu wanatoa ushuhuda baada ya kupewa sabuni kutoka kwa mzee wa upako wakaogee watapata magari..ii imekaaje wakuu
Pia anatoa mafuta ambayo mtu anapaka sehemu za siri ili kutatua mgogoro wa ndoa!!!
Huyu kweli Mzee wa Upako ni tapeli na jina hilo lilianza kuvuma baada ya kuanzisha mradi wa kupaka mafuta, kutoa sabuni n.k
 
hilo gari kama lilikuja bila ya yeye kuplan kuwa na gari, hapo labda ndo kuna muujza kama ilkuwa ni ndoto na plan zake anajidanganya.
 
Naangalia channel mda uu eti kuna watu wanatoa ushuhuda baada ya kupewa sabuni kutoka kwa mzee wa upako wakaogee watapata magari..ii imekaaje wakuu

Kwani ana tofauti na TB Joshua na Babu wa Loliondo ?
kuna anoity water, kikombe cha loliondo na hizo sabuni za upako !
 
Ukimaliza kuoga kisha ukaingia chumbani unakuta burungutu la hela...chezea Upako ww
 
leo pia alionyesha watu ambao mauzo ya biashara zao yameongezeka.
 
Wajinga ndo waliwao,hamjajifunza kwa Kakobe tu?
Ujue kuna vitu vingine havihitaji hata shule ni akili tu ya kawaida, mfano unaenda kuungama dh@mbi kwa m/damu mwenzako au huyo Nabii anaoteshwa na Mungu na anapiga mnada kitu flani kwa bei ya juu na atakaenunua anasamehewa dhambi zake...
Mtabaki hivyohivyo wajanja wa miujiza ya Nigeria wanaendesha Hummer.
 
Tofauti ipo annoited water ni bure,kikombe cha babu unanunua

kuna uzi humu JF ulizungumzia kuhusu anoited water na inauzwa. Kuuzwa au kutouzwa, hakuongezi au kupunguza madai ya kupona au kutopona !
 
Back
Top Bottom