Mzee wa Upako: CCM wanamuogopa Lowassa

Mzee wa Upako: CCM wanamuogopa Lowassa

Kama CCM wangekuwa wanamuogopa Lowassa unadhani wangetumia kalamu ya Bic kulikata jina lake?

Jaribuni basi hata kutumia common sense au ndio yale yale kuwa common sense is not common!

Ni sawa na kufahamu haya ni mavi lakini baada ya kumuona fulani anakula basi na wewe unaanza kula badala ya kujiuliza kwanza kwa nini anakula mavi.

....kama mngekuwa mnajiamini kweli,mngemkata halafu mumsahau, but mmemkata ila bado mnamkumbuka kila dakika, acha kujiliwaza kijana,Lowassa bado anawatetemesha mpk leo!
 
Asaema uchaguzi umekwisha.

Awashangaa CCM kumpiga vijembe.

Asema wanamuogopa na ni tishio kwa CCM

Chanzo: TanzaniaDaima

Nashukuru viongozi wa dini wameanza kusema ukweli na kuwatolea uvivu CCM na hii ni aibu kubwa kwao.

Nashukuru pia habari hii imeripotiwa na magazeti mengi tu(imepewa uzito wa kutosha na magazeti mengi).
Upuuzi katika ubora wake
 
Hebu tafakari kwanza kikao cha juu kama NEC kumuimbia mwenyekiti wao "tunaimani na Lowassa" inaleta maana gani?
Ni wazi kama jina lake lingeletwa kujadiliwa lazima angepita. Imeshindikana kwa vile mwenyekiti alifanya uhuni na kutoleta majina asiyotaka

Sasa mwenyekit alikuwa mmoja tu hao waliokuwa wanaimba walishindwaje kimkatalia mwenyekit na kulazimisha 'mtu wao'??
 
Kama CCM wangekuwa wanamuogopa Lowassa unadhani wangetumia kalamu ya Bic kulikata jina lake?

Jaribuni basi hata kutumia common sense au ndio yale yale kuwa common sense is not common!

Ni sawa na kufahamu haya ni mavi lakini baada ya kumuona fulani anakula basi na wewe unaanza kula badala ya kujiuliza kwanza kwa nini anakula mavi.
Mbona anatajwa tajwa na ccm kama ndio mwenyekiti wao?
 
Sasa kama wanamuogopa mbona walimkata wadau tutumie akili kidogo.
 
Asaema uchaguzi umekwisha.

Awashangaa CCM kumpiga vijembe.

Asema wanamuogopa na ni tishio kwa CCM

Chanzo: TanzaniaDaima

Nashukuru viongozi wa dini wameanza kusema ukweli na kuwatolea uvivu CCM na hii ni aibu kubwa kwao.

Nashukuru pia habari hii imeripotiwa na magazeti mengi tu(imepewa uzito wa kutosha na magazeti mengi).
Viongozi au kiongozi?
 
Ni kweli kabisa CCM haiwezi kumsahau Lowassa. Ni kama vile Mungu na malaika hawawezi kumsahau Ibilisi aliyetaka kuchukua utawala wa Mungu
Mungu yupi huyo mkuu? Yaani Ibilisi amuumbe mwenyewe afu elete jeuri ya kutaka kumpindua Mungu na Malaika? Labda mungu wa kigiriki.
 
Kweliiiiiiii.........haiwezekani mkutano mkuu kama ule badala ya kujadili kiichowapleka wao wanakomaa shingo na Edo.........nasisitiza wanamuogopa.
BAVICHA wao walikuwa wanahangaikia nini wakati mkutano haukuwa wa CHADEMA?
 
Mtu anayeheshimika duniani, jabali la siasa Africa, mtu aliyerudisha heshima ya watanzania, Baba wa taifa, Mwl. J.K. NYERERE, mwaka 1995 alituasa watz kumwogopa kama ukoma mtu anayeitafuta Ikulu kwa kutumia fedha. Nani asiyejua uwekezaji wa EL katika kuutafuta urais?
 
FISADI kama Lowassa kuliogopa ni sahihi kabisa, ni kama unavyomuogopa mfanyabiashara ya Dawa za Kulevya. Wote hawa ni tishio kwa maendeleo ya taifa lolote duniani
 
Leo Asubuhi huyu Jirani yangu Antoni Lusekelo kwenye Kipindi cha Morning Magic wamemnukuu kauli yake aliyofunguka hivi juzi kati kuwa....

''Kila mtu nani Lowassa? Kitendo cha wana CCM juzi kule DODOMA kuendelea kumtaja taja MH. Lowassa ni ISHARA kuwa kiongozi huyo Lowasasa kuwa bado ni TISHIO''

Mwisho wa kunukuu, nawasilisha.
 
Ccm wakipambana Na vyama pinzani kuwe Na tume huru Na Polisi watenda haki wakishinda Na kujidai ni safi kabisa lakini ushindi WA makengeza haunogi sana!
 
Back
Top Bottom