Hahahaha nasikia walimtaja mara 904 hahahahaha na Mwenyekiti wake alitajwa mara 90 tu kwahio Mkutano mzima uligeuka kuwa wa Lowasa hahahhaahaha
Hahahahahahahaa kubishana ndio jadi yenu kwahio endelea kubisha wakati ilikua hivyo!!Mimi sikumbuki kiongozi yeyote kwenye mkutano wa CCM kumtaja kwa jina huyo Lowassa wenu, nilikuwemo mkutanoni na sikusikia jina hilo ukiacha kiongozi mstaafu Makamba aliyemtaja Lowassa kwa jina...
na nyie ni kawaida yenu kuzusha hatushangai mkituwekea maneno kinywani yasio tustahiliHahahahahahahaa kubishana ndio jadi yenu kwahio endelea kubisha wakati ilikua hivyo!!
Mzushi namba moja ni yule Kada mwenzio aliyeanisha uzi hapa kusema kabla ya 23 July 2016 Upinzani utatikisika baada ya Makada maarufu kupokelewa CCM, namtaka leo hii aje hapa akanushe na akiri kuwa alisema uongo mbele ya jamii, au huyu nae tumemzushia?na nyie ni kawaida yenu kuzusha hatushangai mkituwekea maneno kinywani yasio tustahili
Mimi sikumbuki kiongozi yeyote kwenye mkutano wa CCM kumtaja kwa jina huyo Lowassa wenu, nilikuwemo mkutanoni na sikusikia jina hilo ukiacha kiongozi mstaafu Makamba aliyemtaja Lowassa kwa jina...
Kusoma uwezi hata picha uwoni teh teh teh...Mimi sikumbuki kiongozi yeyote kwenye mkutano wa CCM kumtaja kwa jina huyo Lowassa wenu, nilikuwemo mkutanoni na sikusikia jina hilo ukiacha kiongozi mstaafu Makamba aliyemtaja Lowassa kwa jina...
Akina jackline wolper ndo makada waoMzushi namba moja ni yule Kada mwenzio aliyeanisha uzi hapa kusema kabla ya 23 July 2016 Upinzani utatikisika baada ya Makada maarufu kupokelewa CCM, namtaka leo hii aje hapa akanushe na akiri kuwa alisema uongo mbele ya jamii, au huyu nae tumemzushia?
Labda ulikuwa umelala usingizi kama kawaida yenu unaamka kupiga makofi tu au kuzomea kama walivyo wale wabunge wenu wa ndiyoooooooooooooooo
Wote nyie hamnjaelewa mantiki ya comment yangu...mimi nimesema kuwa zaidi ya kiongozi mstaafu Makamba ni nani mwingine alimtaja Lowassa kwa jina???? Je, Kikwete alimtaja Lowassa kwa jina??? Je, Magufuli alimtaja Lowassa kwa jina???? Mbona mnakuwa wagumu mno kuelewa such a simple and a straightforward comment???? Hilo la kulala usingizi sijui unamananisha nini Douglass...naishia hapa...
Hahahahahahahaa kubishana ndio jadi yenu kwahio endelea kubisha wakati ilikua hivyo!!
Haya tumesikia kuwa ulikuemo wewe Steven WasiraMimi sikumbuki kiongozi yeyote kwenye mkutano wa CCM kumtaja kwa jina huyo Lowassa wenu, nilikuwemo mkutanoni na sikusikia jina hilo ukiacha kiongozi mstaafu Makamba aliyemtaja Lowassa kwa jina...
Hahahahahahahaa kubishana ndio jadi yenu kwahio endelea kubisha wakati ilikua hivyo!!
Hahahahahahahaa kubishana ndio jadi yenu kwahio endelea kubisha wakati ilikua hivyo!!