Mzee wa Upako ametumwa au ni upepo mbaya?

cosa nostra

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
1,773
1,805
Ni mara kadhaa sasa mahubiri ya Mzee wa Upako yamekua yamejaa siasa na Majigambo.

Sasa nakua napatashida sana hiki kiburi na majigambo na kujikweza ni kweli yanatoka kwa Mungu au kwa binadamu?

Juzi nimekaa nyumbani nikaona mahubiri yake sehemu kubwa alikua akitoa madongo mfano kwa yule mchungaji anaemjua ilinisikitisha sana.

Mimi nilikua mmoja wa watu wanaoangalia sana mahubiri ya mzee huyu ila kwa sasa sioni wala sipati baraka zozote.

Nakuomba mzee urudi kwenye basics za Uchungaji otherwise sioni mwisho mzuri katika imani za watu kwako.
 
Back
Top Bottom