hahaha mbona hiii huwa anaitoa kwenye mikutano yake,kuna jamaa zangu huko shinyanga walijaza fomu na laki wakatoa,niliwaambia wanaibiwa tu juhudi zao ndo zinafanya wafanikiwe,by the way kwani wao wanashindwa kuomba hadi mzee upako sijui awaombee tena na hela juu,huyu mwizi kwa kweli na watu wanaingia mkenge.
Kanisa la Gospel Revival Centre linajulikana kwasababu kaamua kutumia channel 10.Juzi juzi nilikuwa natazama kipindi chake anataka tumchangie 100,000/= au zaidi umtajie mambo yako matano akuombee.Kwa maana hiyo basi usipokuwa na hizo 100,000/= hawezi kukuombea kweli siku hizi Yesu kawa biashara nzuri.
hahaha mbona hiii huwa anaitoa kwenye mikutano yake,kuna jamaa zangu huko shinyanga walijaza fomu na laki wakatoa,niliwaambia wanaibiwa tu juhudi zao ndo zinafanya wafanikiwe,by the way kwani wao wanashindwa kuomba hadi mzee upako sijui awaombee tena na hela juu,huyu mwizi kwa kweli na watu wanaingia mkenge.
hahaha kumbuka nae ni binadamu kama wao,mpaka wanajaza fomu tena kwa malipo,fikiria yeye anapoomba ujibiwe maombi yako analipa kwa MUNGU ili maombi yajibiwe?hilo laki moja ya nini wakati yeye hamlipi MUNGU anapoomba maombi ya watu yajibiwe.jamani dini inatumika vibaya siku hizi!!!! sasa mama 5j, wajiombee wenyewe kwani wana upako??? si mpaka mzee mwenyewe aliyetunukiwa uwezo huo awasaidie!!!!
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni, kipindi siyo free, analipia, sio free, tena hela ikiongezeka atatia timu na Star TV. ITV na TBC wanakataa kupokea vipindi vya watu wa wokovu.Huyu Mzee wa Upako (na kweli anajua kupakaza!)
Channel ten wanampa free airtime ili kutukana madhehebu mengine na kuyagawa. Wakati wa sakata la msamaha wa kodi aliweka kipindi maalum ili kuwatukana maaskofu.
Nafuu sana ya Mtikila, siyo huyu anayeweka bei ya sala na baraka.
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni, kipindi siyo free, analipia, sio free, tena hela ikiongezeka atatia timu na Star TV. ITV na TBC wanakataa kupokea vipindi vya watu wa wokovu.
Sio tuu analipia airtime, japo anamiliki studio yake, lakini bado analipia cameramen na editors, producer ni yeye mwenyewe, no wonder sometimes poor production maana kuwa producer ni professional ya watu kama ilivyo kuhubiri.
Au umepotoshwa au umepotosha wewe.
Hakuna Dhehebu ambalo halikuwa na muasisi na yote yamesimama kwenye nguzo za hao waasisi.
Hakuna dhehebu lililoanza na likawa na jengo lake kubwa la kifahari siku hiyo hiyo.
Hata hayo majengo unayoyaona mazuri ya makanisa unayoshabikia yako mijini zaidi lakini vijijini majengo wanayotumia waamini wao ni duni kama vile vibanda vya kuku wa kienyeji.
Kwa sababu hiyo muasisi akishaanzisha hata akifa Mungu aliyempaka mafuta afi. Ndio sababu madhehebu yote haya pamoja na lako bado yapo na mmejibebea misifa.
Wazawa nadhani hamna ulazima sana ku quote li habari lote unapo toa maoni yako, kwa tunaelewa ni habari gani inazungumziwa,...., tuwe wachumi kidogo! Hii ni kwa post zote.
Huyu Mzee wa Upako (na kweli anajua kupakaza!)
Ana matatizo maalum. Ipo siku watanzania tutakuja kushtushwa na mambo yake kwa kuchelewa. Siku moja aliomba hela mwishoni mwa program yake. Nikapiga simu kuomba account namba yake ya benki. Akapokea simu na kunipa namba. Nikamwuliza jina la account, akasita kutaja na kusisitiza "wewe weka fedha, jina la account litajileta". Nilipombana akasema jina "Anthony Lusekelo". Nikamwambia mimi nataka kuchangia kanisa siyo mtu, akakata simu. Hapa TRA inabidi watusaidie.
Lakini pia ana tatizo la kupenda ukuu na ndiyo maana analalama kunyimwa diplomatic passport na kutopitia VIP.
Channel ten wanampa free airtime ili kutukuna madhehebu mengine na kuyagawa. Wakati wa sakata la msamaha wa kodi aliweka kipindi maalum ili kuwatukana maaskofu kwa kusema "nani aliwatuma kujenga mashule na mahospitali?"
Nafuu sana ya Mtikila, siyo huyu anayeweka bei ya sala na baraka.
Hapa ni kuganga njaa tu! Mzee wa upako ni mfanyabiashara kama wafanyabiashara wengine, yaani ameona sadaka hazitoshi mpaka aanze kuwaombea watu kwa malipo?
Kama anataka kujenga kanisani achangishe waumini wote siyo wenye shida.
Wakati bibilia inaelekeza matajili wauze mali zao ili kusaidia masikini, yeye anaelekeza watu wamchangie ili wawe matajiri, huyu Askofu wa aina hii inabidi achunguzwe
Maatizo ya Lusekelo:
5. Inferiority complex- kazaliwa Mbeya anasema kazaliwa Iringa
Huyu mtumishi wa Mungu aliniacha hoi nilipomuona kwenye luninga akisema namnukuu "Weka shilingi laki moja katika akaunti nitakayokutajia sasa, ksiha tuma maombi yako kumi kwa njia ya meseji" Sasa mi nikabaki kujiuliza ina maana hapa kila ombi unalipia elfu kumi ama? kweli ndio maana vijana wa siku hizi wameacha kwenda makanisani.
Maatizo ya Lusekelo:
1. Uchu wa Mali
2. ''Ucheki bob''
3. Elimu Dunia ndogo sana
4. Elimu ya Mungu (dini) ndogo sana
5. Inferiority complex- kazaliwa Mbeya anasema kazaliwa Iringa
6. Kuhubiri kwa mashindano
7. Kujikomba kwa wanasiasa
8. Wivu kwa huduma za wenzie
Ushauri.
Kama unataka diplomatic passport fanya kile hao maaskofu wengine walicho fanya kupata hizo passport maana serikali haikuwapelekea hao maaskofu bali maaskofu ndo waliozitafuta.