Mzee wa Mshitu Nape Nnauye asaidia Wananchi kuzalisha korosho ys Sh. 14 Billion | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee wa Mshitu Nape Nnauye asaidia Wananchi kuzalisha korosho ys Sh. 14 Billion

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by nngu007, Mar 28, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Mzee wa Mshitu: Nnauye; NYAMAYAO NA PETE NIMEOMBWA KUPIGA PICHA NA KUSHUGHULIKIA WATU WA CHINI NIKAAHIDI NDO KAZI NINAYOIANZA.NILIANZA KWA KUSIMAMIA BEI NZURI YA KOROSHO, MASASI TUKAZALISHA ZAIDI YA KOROSHO YA 14BILL. NA MKULIMA KAPATA PESA NZURI KULIKO MISIMU MINGINE NA KAZI INAENDELEA
  [​IMG]
   
 2. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2011
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  haoni aibu bei ya suti tu inatosha kukunua hiyo nyumba!
   
 3. H

  HADJ DROGBA Member

  #3
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 16, 2009
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Suti gani hiyo katika suti na wewe,suti anavaa LOWASSA bwana.....hii suti inaonekana kabisa ya kushonesha kwa fundi mangungo pale tandamti street kariakoo.
   
 4. e

  emalau JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2011
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,179
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Kazi ya mkuu wa wilaya ni kufunga na kufungua mikutano, sasa usaidizi huo ameutoa kwa njia ipi?
   
 5. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mbona mheshimiwa anajipigia makofi mwenyewe?
   
 6. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Uko enzi zipi mkuu????!!!!
   
 7. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Anastahili pongezi............mie ninatumaini kwa huyu mheshimiwa! anagalau amewahi kutuonyesha uzalendo!
   
 8. n

  nndondo JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  hivi nikweli nasikia hata u DC alipewa baada ya kwenda kuwa blackmail kwamba yeye ana contact za gazeti moja linalowashughulia viongozi mafisadi sasa wasipompa nafasi atawaacha wamlipue mkulu. Halafu juzi juzi nasikia aliposikia sumaye ataongea anakimbilia huko kuwaambia kwamba sumaye anatoka chama
   
Loading...