Mzee wa Dungu Jeshi katinga bongo na bodyguards

Anaokota mitakataka huko anakuja kuuzia wajinga huku!...
 
Huyu jamaa ana jiinua mno, ni vile ti umaskini wetu ni wa kupindukia ila zile bidhaa zakw asilimia 80 hazifai tena kwa matumizi ya binadamu ingawa kuna hata chache zenye heri ila I'm sure ni umaskini tu ndio inapelekea mamia kimiminika kwenye mnada wake.

Aliaanza kuudhi alipojiingiza kwenye siasa na majivuno kuwaita wasio amini anako amini yeye nyumbu!

Ye ajue tu wakati si wa milele hata ksma yupo hatua kadhaa mbele.
 
Hivi huyu lukosi si wa enzi zile jamii forum slikua ana pigo kama za lucas wa sasa?
Huyo huyo. Bavicha tulimvaa baada ya kufanya uchunguzi alipofika uingereza kutoka Botswana alipokuwa anaendesha malori alikuwa akilala sofani sebuleni kwa shemeji yake London.
 
Bora ununue bidhaa new feki za china
 
Mshkaji wako ametoka kuuza Vogue mpaka kuuza simu?
Tuemuelekezee kwa siredi ya wauza simu....

Mkuu Chris ni jirani yako kwa babu?
 
Asante kwa kutusanua.
 
Huyo huyo. Bavicha tulimvaa baada ya kufanya uchunguzi alipofika uingereza kutoka Botswana alipokuwa anaendesha malori alikuwa akilala sofani sebuleni kwa shemeji yake London.
Nakumbuka alishapikwaga sana humu
Ila sijamfatilia muda sna
 
Kama kuna mtu ana poor customer service zaidi ya huyu, basi spewe tuzo.
 
D9 Gen Z wataenda kumsalimia na hao mabodyguard wake watakpakwa mafuta.
 
Kesho kuna mnada pale KC sijui Bunju anauza vitu vya bei rahisi, mara ooh lapitopi 50,000 mpaka 100,000
JBL mziki mnene 50k
Simu bei 5k
AMbaye aliwahi kununua vitu kwake atupe mrejesho
Kuna jamaa zangu wanne walinunua tractor Massey Ferguson kwa jamaa kupitia mnada wa online akiwa London.

Ila tractor zilifika ni mbovu kuliko maelezo. Ni mmoja tu ndie aliebahatisha ila wengine wote waliingia hasara.
 
Naona jana alikuwa anawapiga tu mafala hela zao, eti Samsung inchi 55 kwa laki 2
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…