Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,543
- 4,664
Kwa nini Brother?huyu fala tu hana lolote mwizi tu
mm ndo nakuambia hana lolote vitu vyake vibovu we unaweza kununu tv ya mtumba bila kujarbu kama inawaka au laah!? unaweza kufanya hvo mkuuK
Kwa nini Brother?
Jikite kwenye mada.Oya umetumia omo ya bei gani mbona povu jingi sana??!
Aisee shukrani kwa ushauri.mm ndo nakuambia hana lolote vitu vyake vibovu we unaweza kununu tv ya mtumba bila kujarbu kama inawaka au laah!? unaweza kufanya hvo mkuu
Sikuwahi kujua kama huyu jamaa ni mpuuzi kiasi hikiMzee wa dungu jeshi shavu kilema mwenye ngebe, nyodo, madharau, majigambo na majivuno katinga bongo jana na mkwara mbuzi wa mabodyguard uchwarwa.
Kayngay huyo mwenye makazi yake uingereza na maarufu kwa kuuza bidhaa chakavu alitinga bongo na ethiopia airlines ambapo alisafiri pekee yake kwenye first class nakututambia kwenye mitandao ya kijamii.
Mbeleni hakuwa na mabodyguard lakini baada ya kukoswakoswa kutembelewa na kusalimiwa akaamua kuchukua tahadhari.
Wanoko wanadai mnada huu anaoenda kuufanya utafanyika kwa haraka sana ili amalize kabla ya tarehe 9 December.
View attachment 3501796
King Kong III
Kuna mdau humu aliwahi kushushiwa mzigo wa 30 million na huyo tapeli kwenda kufungua ndani zaidi ya nusu ya vitu vilikuwa havifai na ni vibovu beyond repair.. Kalia naye mnoo mwisho kaamua kusamehe kwa kinyongoKesho kuna mnada pale KC sijui Bunju anauza vitu vya bei rahisi, mara ooh lapitopi 50,000 mpaka 100,000
JBL mziki mnene 50k
Simu bei 5k
AMbaye aliwahi kununua vitu kwake atupe mrejesho