Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi La polisi Mkoani Dar-es-Salaam Mzee Tryphon Maji amefariki Dunia.Ndg Maji amefariki Dunia leo jioni kwa saa za Tanzania,Marehemu alikuwa anasumbuliwa na Ugonjwa wa shinikizo la Damu,alifariki Dunia katika Hospitali ya Tumaini.Mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwa marehemu,Mbezi Beach.
Aaaah wewe nawe kwa kudondosha majina tu hujambo...mara Alfa...mara Nikas...mara sijui Bullet Train...what the hell....unapenda sana kujionyesha unajua watu wewe. Watu wenyewe hao wachovu tu
Jamani marehemu hata hajazikwa, it is disrespectful to speak the truth about the dead.
Mungu alitoa, Mungu ametwaa. Mungu kwa nini unatuchezea chezea kutoa na kuchukua? Lakini kazi yako haina makosa. Familia, ndugu na marafiki, poleni sana.
If he cared about the family your good Allah would not have allowed him to die in the first place, let alone need you to beg him or remind him about the difficulty the family is going thru. He would know, he's God the merciful!