Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,990
- 103,373
Jamaa baada ya kichapo anarudi ulaya, maana kichapo kipo palepale. Lissu ataleta mabadiliko Cdm? Wapambe wa Lissu mtaumia sana.
Kwa taarifa yako hakuna mwenye tatizo la kushindwa kihalali, maana hiyo ndio kanuni ya ushindani. Ila sio kwa ushindi wa kimagumashi.
Lisu atarudi ulaya kwa ajili ya matibabu yake maana utaalamu huo hapa kwetu bado sana. Na hata kama hapa ingekuwa wanaweza kumtibu, hatuna imani kwa matibabu ya shambulizi alilopata. Hana yoyote wa kumuogopa hapa nchini.