Mzee Seleki - Old Moshi

Kifuniko

Member
May 20, 2011
97
17
kwa wale mliosoma Old Moshi -PCM mnamkumbuka babu seleki aliekua mwalimu wa Adv Maths, yule mzee alikua kichwa sana, alikua anakuja bila any reference paper mwanzo form 5 mpaka form 6 anafundisha kwa kichwa kuanzia notes na mifano yote na majibu yake, aisee kila nikimkumbuka yule mzee sipati picha kabisa kwa ujumla alikua na kipaji maalum cha hisabati , alikua hapandi gari kuja kazini na anatokea mbali na very rare anaingia ofisini yeye ni home class akitoka ni ananyooka home, wanaomkumbuka wamwage kumbukumbu hapa
 
Huyu mzee namkumbuka sana. alikuwa anakuja darasani kalewa ile mbaya. but alikuwa anashusha madude ya ukweli. kwa wale waliokuwa wanakaa madawati ya mbele walikuwa wanasikilizia harufu ya pombe ya kienyeji (mbege) wakati babu anafundisha.lecture ikiisha na wewe unakuwa ushalewa. Babu alikuwa kichwa na si kama Kidunda mzee wa misifa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom