Mzee Mwinyimvua is no more | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee Mwinyimvua is no more

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngongo, May 20, 2011.

 1. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,056
  Likes Received: 3,415
  Trophy Points: 280
  Mwenyekiti wa wazee mkoa wa Dar es salaam mzee mwinyimvua amefariki dunia.
  Itakumbukwa wazee wa Dar es Salaam wamekuwa wakitumiwa kama daraja la propaganda la CCM muda mrefu tangu enzi za Mwl Nyerere.

  Wazee wa Dar chini ya uongozi wa Mzee Mwinyimvua walitumiwa na ****** kuwashambulia na kuwazodoa wafanyakazi waliokuwa wakitaka nyongeza za mishahara.

  Pole sana Kikwete kwa kuondokewa na Mzee mwinyimvua na Sheikh Yahaya Hussein mlinzi wako wa uhakika,

  RIP Mwinyimvua.
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Kazi ya Mungu haina makosa, Mungu amuweke mahali stahili Mzee Mwinyimvua!
   
 3. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Siku zote wazee ni kisima cha busara ndani ya jamii!
   
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  RIP Mzee.
   
 5. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,140
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  duh....rariba ya mazishi ya wazee hawa ikoje?
   
 6. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,056
  Likes Received: 3,415
  Trophy Points: 280
  Mkuu lazima JK akatize ziara yake Namibia.
   
 7. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #7
  May 20, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,078
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ametwaa jina lake libalikiwe
   
 8. M

  Marytina JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  JK atasingizia nini kukatiza ziara ili kumzika mlinzi wake
   
 9. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Msiba mzito kwa taifa na kwa ccm.kuna nini hapa usiku wa jana m/kiti ccm rungwe afariki kwa kuuwawa kwa risasi.leo sa4 asubuhi shekh na mlinzi wa jk kwa nguvu za giza kafariki,pia mzee aliyekuwa anatumiwa na jk kandaa mipasho ya wafanyakazi nchi afariki dunia.bwana ametoa na bwana katwaa jina lake lihimidiwe.
   
 10. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,056
  Likes Received: 3,415
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Rais Kikwete kushoto mzee Athumani Mwinyimvua katikati na kulia Mzee Ruksa.
   
 11. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #11
  May 20, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Apumzike kwa amani
   
 12. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,454
  Likes Received: 1,137
  Trophy Points: 280
  kazi ya mungu haina makosa.. apumzike
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  May 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,237
  Likes Received: 14,476
  Trophy Points: 280
  misho wa dunia nini? mbona watu wanaondoka hivi
   
 14. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #14
  May 20, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,056
  Likes Received: 3,415
  Trophy Points: 280
  Mkuu mwisho wa dunia kesho 21/05/2011.
   
 15. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #15
  May 20, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,548
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Na walionusirika kufa kama Mary Chitanda na Mh.Mbunge wa Tarime.Kujivua gamba kuna gharama zake
   
 16. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #16
  May 20, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  CCM wanatoa Swadaka nini?
   
 17. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #17
  May 20, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,817
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Innalillah wainailaih rajiuun,
   
 18. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #18
  May 20, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,130
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema!
   
 19. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #19
  May 20, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mahali stahili
   
 20. s

  sativa saligogo Senior Member

  #20
  May 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ghosh!!!!:mod: Hiyo ni ishara tosha coz 3 people at a time LOH! jIBRILI anazungukia jiarani na nyumba nyeupe!!! :smow:Let them rest in peace not in pieces!

  GOD"S CASE NO APPEAL,JUST THE WAY IT IS!!!!!!!!
   
Loading...