Mzee Mwinyimvua is no more

kikwete+baraza+la+wazee+dar+1.jpg


Rais Kikwete kushoto mzee Athumani Mwinyimvua katikati na kulia Mzee Ruksa.

Namwona kakobe kwa mbali!!!!!!!!!!1
 
It's very bad, probably much unacceptable to human norms that one should shy to grieve for the passing of any human-beings.

CCM and it's Gov't should urgently and thoroughly, really, look into this, why people in Tz and beyond so hated them with utter venom and tangible hatred.

Hao wazee kwa kweli hawakuitendea haki Tz ktk ujumla wake. Walisimamia zaidi maslahi binafsi na hata kushiriki duluma na haki za WaTz kuporwa. Ndio maana wengi hawaguswi wala kusikitika na kuondoka kwao.
 
Nataka kuthibisha kama kufa kwa Mzee Yahya kutaambana na kuanguanguka kwa Mkubwa! Maana mara ya mwisho alipoanguka alitangaza kuwa ameoneza ulinzi, au walinzi wataendelea kufanya kazi hali Mzee kaondoka?!
 
kikwete+baraza+la+wazee+dar+1.jpg


Rais Kikwete kushoto mzee Athumani Mwinyimvua katikati na kulia Mzee Ruksa.


du yule kule nyuma si ni mchungaji kakobe??? lakini naona hata hivyo anavyomtazama mkuu ni kama hamwelewi elewi!!!

atakuwa ameburuzwa kuja hapo na usalama
 
Back
Top Bottom