Mzee Mwinyi [Ruksa] kukutana na wanahabari leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee Mwinyi [Ruksa] kukutana na wanahabari leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngongo, Oct 15, 2009.

 1. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2009
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Heshima mbele wanajamvi.

  Rais wa awamu ya pili mzee A H Mwinyi maarufu mzee Ruksa atakutana na wanahabari leo nyumbani kwake kuzungumzia maendeleo na majukumu ya kamati iliyoundwa na NEC ya chama cha mapinduzi kufuatilia mienendo ya baadhi ya wabunge wa CCM wanaoishambulia serekali ya chama cha mapinduzi ndani ya bunge na nje ya bunge.

  Ikumbukwe katika kikao cha CC na baadae NEC spika wa bunge la JMT mheshimiwa Samwel Sitta alishambuliwa na baadhi ya wajumbe kwa kuongoza vikao vya bunge kuizalilisha serekali ya chama cha mapinduzi.

  Source: Jambo Afrika TBC1.
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hawa nao wanakosa kazi ...hebu nikapate lunch mie
   
 3. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2009
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hivi hilo suala mimi nilidhani ni lao wao CCM na kamati zao? Hadidu rejea zilimtaka kutoa taarifa kwa umma?
   
Loading...