Habari wadau
Tanzania ni nchi tajiri sn na usije ukajidanganya kuwa setikal haina hela serikal hela inazo sema ziko chemba kwa matumiz ya watu fulani fulan na maelekezo kutoka juu.
Mwinyi kapewa zawad ya Benz TZ million 400 mnapiga kelele kila kona kisa pesa za kodi naomba niwaulize maswali yafuatayo:
Kila CAG akitoka huwa anatangaza kuna mahali pesa zimepigwa unakuta hata trillion kadhaa zilipigwa hizo km kodi zenu huwa mnafanya nini?
Uchaguzi magumashi uliofanyika ambao mimi hata sikuhudhuria ila ninyi mlienda msobemsobe ili nuitoe kuna pemben washapanga matokeo yao zile pesa ni za kodi zenu zilichezewa mlifanya nini?
Wabunhe wangapi wapo bungeni hoja zao ni za kimasihara tu eti analalamika kwa spika kaitwa njuka tena live kabisa alishindwa nn kumfuata spika personal badala yke kaja kuongea kwenye kikao na posho akapewa zileni kod zenu zinachezewa mlifanya nn ?
Mikataba mingapi mibovu serikali ina sain na makampuni ya nje kwa mapesa kibao bandar iliobid ijengwe kwa dola million 100 ikajengwa kwa dola millipn 900 mkapigwa mlifanya nini?
Ukwel mchungu ni huu Watanzania ni watu wa kuongea ongea ili mradi tu wameongea, sio wafuatiliaji sio wachambuzi. Na wale wachambuzi wamezibwa mdomo na wale wajuaji kina Assad wamezibwa mdomo. Angalau toka jiwe ameachia ngazi wametema nyongo kodogo na ni kweli 60% ya watumishi serikalin wameajiriwa kisa tu wana personality nzuri lakini kichwani hamna kitu.