Akunwe anapowashwawashwaTumefanya bahati kumpata Rais Magufuli anayefahamu makosa tuliyofanya waafrika baada ya kupata uhuru miaka ya 1960s, miongoni mwa viongozi waliotufikisha hapa tulipo Mzee Mwinyi alikuwa miongoni mwao. Wako wengi tunaokunwa na utendaji wa Rais JPM lakini tuko kimya kwakuwa tunadhani hivyo ndivyo Rais wa watu anavyopaswa kuwa, lakini Mzee wetu Mwinyi ameona kumsifu JPM kimyakimya haitoshi.
Mzee Mwinyi alipata fursa ya kuyafanya haya anayoyafanya Rais JPM tena na zaidi kama angetaka kufanya hivyo. Watu wanashangaa kwanini sasa anakunwa, tena hadharani na hiki anachokifanya Rais wetu JPM. Kwa faida ya watanzania, taifa na Afrika kwa ujumla angepaswa atuambie ni kitu gani kiliwanyima viongozi wa afrika akiwepo yeye kufanya hiki anachokifanya Rais Magufuli leo kwenye awamu zao?
Hata sasa hivi nadhani Rais Magufuli kwakutumia usomi, uzoefu na weledi wake anafahamu ni kwanini Mzee Mwinyi anamsifu sana hivi, tena hadharani.
Watu wengi wanadhani uchaguzi wa Zanzibar 2020 pia unahusika.
Ni maoni yangu tu kama mtanzania wa kawaida kwenye nchi yake.
Now you are talking!Watu wengi wanadhani uchaguzi wa Zanzibar 2020 pia unahusika.
Kuzeeka ni kukua (Getting Old is to Grow- GOIG) na sio kuchakaa.Angesifiwa na JK au BWM ningeamimini kwamba kuna jamba ila huyu kasha kua outdated miaka 93 sio mchezo
Karata ya CCM ni either VP anaenda Zanzibar 2020 kwa kipindi kimoja then Mwinyi Jr anafata 2025,na huku bara PM anachukua 2025Mwinyi asubiri kuja kuongoza huku, 2025
Hao 'Wazee' ndo wametufikisha hapa tulipo.Mbawara Ni bora kuliko Mwinyi Jr
But Wazee wanamtaka Mwinyi Jr
True ndiyo tengo lake2020 Zbar kati ya Mwinyi vs Mbarawa lazima pawake moto...
Kura yangu kwa Professor,haya mambo ya kusafiria nyota za wazazi hatuyataki,alianza wa karume kaka na mdogo wote wakiutaka uraisi na sasa huyu2020 Zbar kati ya Mwinyi vs Mbarawa lazima pawake moto...
Mnajitaidi kweli kuhakikisha mnatoa tafsiri zinazokonga nyoyo zenu.Mzee Mwinyi alisema yeye ni 'great admiarer' na kwa kiswahili anamhusudu rais.
Ila akasema maana moja ya kuhusudu sio nzuri- ni kuwa hasidi/mnafiki yani!!!!
Sasa sijui kama mlimwelewa mzee.
Kuwa na busara ni pamoja na kuwa na uwezo wa kumtukana mtu alafu unayemtukana akacheka kwa heshima.
Mkuu hujui wa2 hukunwaje!!unakunwaje kwa mfano?
Tumefanya bahati kumpata Rais Magufuli anayefahamu makosa tuliyofanya waafrika baada ya kupata uhuru miaka ya 1960s, miongoni mwa viongozi waliotufikisha hapa tulipo Mzee Mwinyi alikuwa miongoni mwao. Wako wengi tunaokunwa na utendaji wa Rais JPM lakini tuko kimya kwakuwa tunadhani hivyo ndivyo Rais wa watu anavyopaswa kuwa, lakini Mzee wetu Mwinyi ameona kumsifu JPM kimyakimya haitoshi.
Mzee Mwinyi alipata fursa ya kuyafanya haya anayoyafanya Rais JPM tena na zaidi kama angetaka kufanya hivyo. Watu wanashangaa kwanini sasa anakunwa, tena hadharani na hiki anachokifanya Rais wetu JPM. Kwa faida ya watanzania, taifa na Afrika kwa ujumla angepaswa atuambie ni kitu gani kiliwanyima viongozi wa afrika akiwepo yeye kufanya hiki anachokifanya Rais Magufuli leo kwenye awamu zao?
Hata sasa hivi nadhani Rais Magufuli kwakutumia usomi, uzoefu na weledi wake anafahamu ni kwanini Mzee Mwinyi anamsifu sana hivi, tena hadharani.
Watu wengi wanadhani uchaguzi wa Zanzibar 2020 pia unahusika.
Ni maoni yangu tu kama mtanzania wa kawaida kwenye nchi yake.
2020 Zbar kati ya Mwinyi vs Mbarawa lazima pawake moto...
Mzee anataka mwanae apewe urais wa Zanzibar hivyo ni lazima sifa ziwe lukuki