Kiherehere
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,806
- 622
CCM Ni Chama Dola!Hayo mengine yooote ni porojo tu na matukio ambayo yatapita kama mengine mengi tu yalivyopita lkn mwisho wa siku Bw.Pombe Magufuli ndiyo raisi ajaye wa JMT na zaidi ya 3/4 ya Bunge lijalo litaundwa na CCM!
Kwa kukumbusha tu Wakuu wa Mikoa wote ndiyo Maraisi wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya wote ndiyo Maraisi wa Wilaya na hakuna linalofanyika Wilayani kwake bila idhaa yake, Tume ya Uchaguzi iko chini ya Serikali ya JMT na Kiongozi wake anaweza kufukuzwa au kuhamishwa muda wowote ule na Raisi wa JMT, Matokeo ya Uraisi wa JMT hayapingwi kwenye Chombo chochote kile halali TanZania, na mwisho na labda la muhimu kuliko yote Raisi wa JMT ni raisi mpaka pale Raisi mpya atakapoapishwa!
Usisahau pia wafadhili Lowasa kama akina Mengi, Rostamu ni moja kati ya wadaiwa sugu wa Serikali ya JMT!
Sasa kama Lowasa ana uwezo wa kuivusha CHADEMA kwenye vihunzi vyote hivyo basi atakuwa Raisi wa JMT hapo 2016!
Nyie mnaoingiwa na imani kuwa hayapingwi na kuhisi mnataweza kupora haki ya wananchi, jiandaeni na the heague !!!
Pia tambua nguvu ya mitanzano ya kijamii, ni kubwa kuliko, 2010,2005,2000,1995....matokeo yatawekwa hadharani hata kabla tume haijatangaza.....sasa chezeeni sasa hivi, mkidhani tuko stone age!!!
Mtaumbuka
Weka hifadhi ya maneno uyatumie baadae, maana kuna kipindi matokeo mtayaogopa kutangaza mnavyotaka kwa jinsi yatakavyokuwa
CCM Ni Chama Dola!Hayo mengine yooote ni porojo tu na matukio ambayo yatapita kama mengine mengi tu yalivyopita lkn mwisho wa siku Bw.Pombe Magufuli ndiyo raisi ajaye wa JMT na zaidi ya 3/4 ya Bunge lijalo litaundwa na CCM!
Kwa kukumbusha tu Wakuu wa Mikoa wote ndiyo Maraisi wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya wote ndiyo Maraisi wa Wilaya na hakuna linalofanyika Wilayani kwake bila idhaa yake, Tume ya Uchaguzi iko chini ya Serikali ya JMT na Kiongozi wake anaweza kufukuzwa au kuhamishwa muda wowote ule na Raisi wa JMT, Matokeo ya Uraisi wa JMT hayapingwi kwenye Chombo chochote kile halali TanZania, na mwisho na labda la muhimu kuliko yote Raisi wa JMT ni raisi mpaka pale Raisi mpya atakapoapishwa!
Usisahau pia wafadhili Lowasa kama akina Mengi, Rostamu ni moja kati ya wadaiwa sugu wa Serikali ya JMT!
Sasa kama Lowasa ana uwezo wa kuivusha CHADEMA kwenye vihunzi vyote hivyo basi atakuwa Raisi wa JMT hapo 2016!
Kwa CHADEMA ya sasa kama Slaa anaweza kutosikilizwa basi Mwanakijiji ndo kabisa
so irrelevant.....watu hawamsikilizi Mwanakijiji tena
Usijidanganye Raisi wa JMT hawezi kupelekwa The Hague hata siku moja labda akikosana na Wazungu kitu ambacho ni kigumu sana kutokea kwa ajili ya Lowasa tu ambaye Wazungu wenyewe wanamjua kama Fisadi na hata huko Uingereza kwenyewe walimchunguza baada ya mtoto wake kununua nyumba ya mamilioni ya fedha za huko Uingereza!
Hapa ni jinsi Wazungu wenye The Hague wanavyomfahamu Lowasa (Chanzo; wiki) hayo ni maneno ya Wazungu;
,,Lowassa has gone into record as the first Prime Minister to have been forced to resign by a fraud scandal in the history of Tanzania,[SUP][3][/SUP] earning him the nickname "Lo-Rushwa".[SUP][4][/SUP] It should be noted that "rushwa" means bribe in Swahili"
Halafu hayo matokeo ni nani anayaweka hadharani? Vituo vinalindwa na nani BAVICHA au Jeshi la Polisi? Na uchaguzi Uliopita Slaa alisema nini? Si alikataa kutambua matokeao akaanza safari ya kuzunguka Dunaia nzima kwenda kuichongea nchi yetu kwa Wazungu, kwani ni nani hata alimsikiliza? TanZania na CCM ndiyo kwanza kipenzi cha wenye Dunia Wazungu Obama alikuwa hapa, Raisi wa uchina alikuwa hapa, Raisi wa Ujerumani alikuwa hapa hawa ndiyo wanamiliki The hague...
Kiukweli ni kama vile Mwanakijiji alikuwa anataka Slaa areact negatively na kutokee mtakafaruku ili aprove point yake (mafahali wawili hawakai zizi moja).
Sijawa fun wa Lowasa lkn nataka mabadiliko kwa nguvuu zote.
Ni kweli angekaa kimya tu kama kweli ni muumini wa mabadiliko. Alisha weka record clear kuwa hayuko in favor of Lowasa kuongoza lkn haikuwa vyema kuchochea au kupandikiza mawazo ya kugombania uraisi btn sio tu Lowasa na Slaa lkn pia wafuasi wao. Haikuwa busara kbs kwa mtazamo wangu. I could take it from watu wengine but not him.
Kiukweli ni kama vile Mwanakijiji alikuwa anataka Slaa areact negatively na kutokee mtakafaruku ili aprove point yake (mafahali wawili hawakai zizi moja).
Sijawa fun wa Lowasa lkn nataka mabadiliko kwa nguvuu zote.
Ni kweli angekaa kimya tu kama kweli ni muumini wa mabadiliko. Alisha weka record clear kuwa hayuko in favor of Lowasa kuongoza lkn haikuwa vyema kuchochea au kupandikiza mawazo ya kugombania uraisi btn sio tu Lowasa na Slaa lkn pia wafuasi wao. Haikuwa busara kbs kwa mtazamo wangu. I could take it from watu wengine but not him.
Usijidanganye Raisi wa JMT hawezi kupelekwa The Hague hata siku moja labda akikosana na Wazungu kitu ambacho ni kigumu sana kutokea kwa ajili ya Lowasa tu ambaye Wazungu wenyewe wanamjua kama Fisadi na hata huko Uingereza kwenyewe walimchunguza baada ya mtoto wake kununua nyumba ya mamilioni ya fedha za huko Uingereza!
Hapa ni jinsi Wazungu wenye The Hague wanavyomfahamu Lowasa (Chanzo; wiki) hayo ni maneno ya Wazungu;
,,Lowassa has gone into record as the first Prime Minister to have been forced to resign by a fraud scandal in the history of Tanzania,[SUP][3][/SUP] earning him the nickname "Lo-Rushwa".[SUP][4][/SUP] It should be noted that "rushwa" means bribe in Swahili"
Halafu hayo matokeo ni nani anayaweka hadharani? Vituo vinalindwa na nani BAVICHA au Jeshi la Polisi? Na uchaguzi Uliopita Slaa alisema nini? Si alikataa kutambua matokeo akaanza safari ya kuzunguka Dunia nzima kwenda kuichongea nchi yetu kwa Wazungu, kwani ni nani hata alimsikiliza? TanZania na CCM ndiyo kwanza kipenzi cha wenye Dunia Wazungu Obama alikuwa hapa, Raisi wa Uchina alikuwa hapa, Raisi wa Ujerumani alikuwa hapa hawa ndiyo wanamiliki The hague...
Halafu isitoshe tafuta Watz ambao wako tayari kuumizwa, kulemazwa na kufa kwa ajili ya Lowasa, Mbowe & Co. kama utapata 100 una bahati sana!
Ni kweli kabisa ulichozungumza, ila ukumbuke waamuzi ni wananchi kupitia box la kura. Asikudanganye mtu kwamba hizo taasisi bado zinaogopwa mpaka kuweza kufanya watakacho. Kwa siku za nyuma kutokana na wananchi wengi kukosa elimu ya uraia na uwezo mdogo wa kupambanua mambo hilo liliwezekana kirahisi. Na hapo ndio mlidhani hata mwenyekiti wa chama chenu akifanya apendavyo ni rahisi watu wengine kukubali ama kunyamaza, kwani ilikuwa ni mazoea huko nyuma haswa enzi za Hayati JK Nyerere kufanya kile alichoona ni sawa hata kama alikuwa na nia njema, mkadhani this time na JK anaweza kuchagua kiongozi amtakaye. Ni kwamba nyakati zimebadilika na ndio maana umeona leo EL kwa mara ya kwanza katika nchi hii aliyekuwa waziri mkuu kahamia chama kingine na kuweza kusema aliyehusika na maamuzi mabovu ya mkataba kama wa richmond hadharani. Nyinyi bakini mkifikiri hizo idara ulizotaja ndio zitaamua rais wa nchi hii kama hamjaona nchi ikiingia machafukoni na msijue namna ya kuzuia. Sitoshangaa kama wewe ni mmoja wa watu waliokuwa wakipita kulaghai wananchi zamani eti wapinzani wataleta vita na leo imedhihirika ilikuwa ni uchu wenu wa madaraka. Na ninadhani hamkutegemea EL kuhama na hasa mshangao zaidi ni yeye kuhamia chama hasimu.
Kwa taarifa yako wewe pamoja na hizo idara ulizozitaja eti zinaamua rais ama uongozi wa nchi hii, mwenzako kasema ni goli la mkono lakini nakuhakikishia hamtaamini macho yenu na ndio itakuwa mwanzo wa mabadiliko ya uhakika ndani ya nchi hii. Kama hujaiba vya kutosha wakati serekali na chama chenu kikiongoza nchi kw mazoea basi ujue umeumia na kama mko tayari ingizeni nchi kwenye vita tuone nini kitatokea.
Tafakari kwanza what is behind Lowassa kuingia Chadema ndo uje kumshauri Mzee Mwanakijiji.
Sasa ndo naelewa kwa nini wanasema half knowledge is dangerous than total ignorance? Yani kama hii ndo thinking yenu sishangai wale walioaminishwa Gaddafi ndo mbaya na atoke na leo wanashangaa Gaddafi katoka ila yaliyowakuta ni zaidi ya hata yale waliyokuwa wanayawaza.
I feel sorry for you.
Anacholilia Mwanakijiji ni ku stay relevant
Slaa anamsikiliza Mwanakijiji...
Lowassa na timu yake na kina Mbowe hawamjui hata Mwanakijiji ni nani kwa CHADEMA
Kwa hiyo its more than a party hapa anaipigania
something personal too
Hatuzungumzi The Heague kwa sababu ya kutangaza.....safari hii, msipotangaza kama watanzania wanavyotaka, basi watahamasishana mtangaza tunachokitaka.
Hapo ndio kuitafuta The Heague, ukuzingumzia chanzo chako cha wiki, we utakuwa una wazimu....Uhuru Kenyatta mwenzio alikuwa ameshitakiwa kabisa....nguvu ya umma imeondoa upumbavu.
Tatu, na mwisho, raisi alieshindwa sio anaeeamua matokeo yatangazwe vipi...ni Usalama wa Taifa, baada ya kyfanya Tathmini, ya kile kitakachotangazwa matokeo take yanakuwaje....hapo ndio muda huwa unafika....usalama wanaamua sio kwa matakwa ya Rais...bali umma!!
Na sio kwamba Lowasa ameingia huku hajui hila zenu!! Nazijua sana!! tambua, mliondo jina lake kwenye Kamati ya familia ya kikwete iliokaa Dodoma, hamuwezi kulikata jina lake akawaelewa...kama wananchi wamemchagua
Utajua tu....nyie jisaauni
Mwanakijiji kushindwa kusoma upepo unaendaje mimi nimeshangaa sana-nilishawahi kumuuliza Slaa kamuahidi nini? Ujio wa Lowassa ni the end of mwanakijiji kuwa a force to reackon with humu JFKwa CHADEMA ya sasa kama Slaa anaweza kutosikilizwa basi Mwanakijiji ndo kabisa