Mzee Mwanakijiji, Tafadhali...

Mzee Mwanakijiji, Tafadhali...

Kama ingekuwa ni Magufuli Scandal na hasa kama ingekuwa yeye ndiye aliyefisadi, angeshafukuzwa kazi kama FISADI LOWASSA au kuwajibishwa na bunge kama wale washikaji zake LOWASSA.

Kwa kifupi ni kuwa hakuna Magufuli Scandal, je unaweza sema hivyo hivyo kwa FISADI LOWASSA?
thanks kwa mwandiko wa kike

Wote mafisadi tu
 
Tunaongelea suala la ufisadi na athari zake kwa nchi wala si madhambi ya watu. Therefore hatufanyi comparison kufikia uamuzi wa kumchagua Rais. so much noise on ufisadi na Lowasa hajawa proven guilty kwa ufisadi Ila muda wote wa utawala wa CCM issue ni rushwa ambalo hatuna hata Rais wa awamu ya pili mpaka wa Sasa ameshachukua chukua hatua za dhati kupiga vita rushwa! Hata enzi za Mkapa rushwa kubwa iliotokea na hatukumsikia akiizungumzia kama Mkuu wa nchi. Lowasa ana uchungu wa kupigiwa kelele za ufisadi, atatumia uchungu aliopitia kubeba mzigo wa kashfa kwa niaba ya serikali kuhakikisha ana prove yeye hapendi ufisadi once ukipata kura za kutosha.

Naona unajifunga mwenyewe kwa kuihukumu CCM kwa ufisadi na kuacha kumshupalia FISADI PAPA LOWASSA aliyeshindikana na kuhukuwmiwa bungeni.

CCM haijahusika na ufisadi wowote au kama unavyosema -NOT FOUND GUILTY. Hata hivyo, baadhi ya wanachama wake, wakiongozwa na yule waliyemtema, EDWARD FISADI LOWASSA. Hao ndio waliojihusisha na ufisadi na sio CCM.

Kwa hiyo HUWEZI KUIHUKUMU CCM KWA UFISADI WA LOWASSA. Kila mtu ahukumiwe binafsi na sio kwa tabia mbovu za wanaomzunguka.

EDWARD LOWASSA ameshindikana CCM, kwa hiyo hafai pia akiwa UKAWA maana akiwa mkuu wa nchi hakuna atakayeweza kumzuia kuendelea KUFISADI NCHI.
 
Mimi mtazamo wangu ni hiviiiiii potelea mbali rais awe Magufuli au Lowassa muhimu ni Bunge. Kukiwa na wabunge wengi wa upinzani wenye nia njema na nchi yetu basi tutakuwa tumeanza kuuvuka mto. Tuache kulaumiana kwa sasa tupo safarini tuzidi kupeana moyo sote ni ndugu. Muhimu upinzani uweze kukosoa au kuondosha mabovu ya ccm na tuijenge Tanzania ya wote sio chama fulani. Kila mwanadamu ana mtazamo tofauti hizi tofauti zetu tuziache kwa sasa it's too late kugeuza lililopo mbele yetu tusivunjane moyo tuendelee na safari tutafika. Isipo upinzani punguzeni kuchukua makapi mnajidanganya chui habadiliki rangi ni yule yule awe Africa Asia ni chui tu. ANGALIZO
 
  1. Umenena vema na watanzania wote ingekuwa vema tukawa na mtazamo kama wa kwako. Tujaribu kuwapigia kura wabunge wengi wa upinzani kama wana sifa.
  2. Lakini kura za uraisi TUSIMPE FISADI LOWASSA hata moja kwani CHUI NI CHUI TU.

KURA kwa LOWASSA = UFISADI(KUUBARIKI + KUUKUBALI)

thanks kwa mwandiko wa kike

Wote mafisadi tu

  1. Asiyekubali kushindwa si mshindani.
  2. Kubali tu kuwa tuna mgombea mmoja tu wa uraisi ambaye ni FISADI Papa = EDWARD LOWASSA,
  3. Then tukitumia akili badala ya munkari, hata kauli zetu zitakuwa za busara na sio za matusi.
 
Edward, Jakaya, Chenge, Mwakyembe, Karamagi, rostam.... Hao nimafisadi papa

Hilo halina ubishi
 
Sababu inayomfanya Lowassa asishtakiwe mpaka leo kuhusu sakala la Richmond ni kwa sababu mamlaka ya juu ilihusika katika ufisadi huu.Let us keep this in mind.
 
Ukiondoa Mwakyembe, waliobaki ni Mafisadi.

Kwa Hiyo Tusikubali Edward (LOWASSA) Kuurudisha Ufisadi Madarakani
MWakyembe ni fisadi mnooo

Ile issue ya Richmond, ilimuuma tu, because he had a power negeration company huko singida; Mabehewa na vichwa vya treni vibovu vilivyotucost 400M USD yupo, TPA malpractice yumo,

Ni fisadi, na mbaya zaidi yeye ni mfitini, unakumbuka alipodai anataka kuuwawa?? akadai atasema yote... Ameshasema chochote??
 
Nataka kutumia mantiki mpaka mwisho wa hoja kabisa. Kwa hivyo nitatumia muktadha ambao si halisi au wa kufikirika ili kufika hoja mujarabu. Lengo letu ni kuing'oa sisiemu. Je, endapo watu wote walio sisiemu wakisema leo hii sisi si sisiemu bali ni sisiemu, itakuwaje? tutawakubalia? I admit this is an extreme scenario. Kilichotokea ni wachache wa wale tunaojua kwamba wameharibu nchi ndiyo wamekwenda ukawa au CDM. Hapo ndipo ninapoiona hoja ya Mzee Mwanakijiji.
Ngoja nirejee tena kwa masisiemu yanafanyaje mambo yao. Yanatumia nafasi zao, yanatumia pesa, yanatumia dola kujinufaisha yenyewe bila kujali hali ya nchi. Hapo basi EL amefanyaje kuingia CDM? Ametumia nafasi yake katika CCM, ametumai pesa zake alizojipatika katika CCM kuingina ukawa. Hapo ndipo ninapokosa imani na EL na wimbi zima la nyinyiemu kuingia ukawa. Itakuwaje tuwape dhamana watu walewale waliotuleta hapa? I'm sorry, this makes absolutely no sense to me. Kwa kweli, kwa sasa sitapiga kura. Majambazi yamegombana nasi tunagombana kuyapigia kura?????
 
huyu mwanakijiji ni Dr slaa hilo nafikili halipingiki jamani, nashauri ili tuweze kupata Maendeleo inatakiwa tuwe na wabunge wengi Wa upinzani ili ile tabia ya Ndio ifutike bungeni ila urais naona ukawa bado hawajajipanga na wako kama wazee Wa kukurupuka Wa futuhi mimi kura ya ubunge ukawa na udiwani ila ya urais ni Dr magufuri kwa Sifa zake na weredi anafaa
 
Nataka kutumia mantiki mpaka mwisho wa hoja kabisa. Kwa hivyo nitatumia muktadha ambao si halisi au wa kufikirika ili kufika hoja mujarabu. Lengo letu ni kuing'oa sisiemu. Je, endapo watu wote walio sisiemu wakisema leo hii sisi si sisiemu bali ni sisiemu, itakuwaje? tutawakubalia? I admit this is an extreme scenario. Kilichotokea ni wachache wa wale tunaojua kwamba wameharibu nchi ndiyo wamekwenda ukawa au CDM. Hapo ndipo ninapoiona hoja ya Mzee Mwanakijiji.
Ngoja nirejee tena kwa masisiemu yanafanyaje mambo yao. Yanatumia nafasi zao, yanatumia pesa, yanatumia dola kujinufaisha yenyewe bila kujali hali ya nchi. Hapo basi EL amefanyaje kuingia CDM? Ametumia nafasi yake katika CCM, ametumai pesa zake alizojipatika katika CCM kuingina ukawa. Hapo ndipo ninapokosa imani na EL na wimbi zima la nyinyiemu kuingia ukawa. Itakuwaje tuwape dhamana watu walewale waliotuleta hapa? I'm sorry, this makes absolutely no sense to me. Kwa kweli, kwa sasa sitapiga kura. Majambazi yamegombana nasi tunagombana kuyapigia kura?????

wenzako wana mihemko mpaka basi
 
Mleta mada porojo na huyo anaejiita Mzee Mwanakijiji nae porojo.

Nyie wote hamna zaidi ya ufataani tu.
 
Last edited by a moderator:
MWakyembe ni fisadi mnooo

Ile issue ya Richmond, ilimuuma tu, because he had a power negeration company huko singida; Mabehewa na vichwa vya treni vibovu vilivyotucost 400M USD yupo, TPA malpractice yumo,

Ni fisadi, na mbaya zaidi yeye ni mfitini, unakumbuka alipodai anataka kuuwawa?? akadai atasema yote... Ameshasema chochote??

Mwakyembe Hajashutumiwa Popote kwa UFISADI. Kama Shutma Ipo, Basi Iweke Ili Tuijadili.
 
Back
Top Bottom