Nani Kasema
Senior Member
- May 31, 2011
- 148
- 27
NOTE - Ninaediti post hii ili kuongeza theme ya threads zangu
zingine ambazo mods wanaziunganisha na hii bila sababu yoyote
ya msingi.
Ninachokiongeza - ambacho ninataka kukiongelea kwenye threads zingine,
na ambacho mzee mtei hakukiongelea ni hiki:
JK na wenzake wana Mpango wa kuingiza mahakama
ya kadhi na OIC kwenye katiba ya Tanzania.
Ningependa kuwahakikishia wao (na mods wa hii forum)
kuwa, huo mpango hautafanikiwa ng'o,... hata wakijaza
watu wa dini moja kwenye tume ya katiba.
Zitto mwenyewe anakana kuwa hajayasema yaliyoandikwa na gazeti hilo
kazi kweli kweli
Amekana wapi, tupe link ya jf, hatutaki fb wala tweeter.
Zitto said:Nioneshe popote niliponukuliwa kusema unavyosema hapa.
Sijawahi kumjibu Mtei moja kwa moja hata siku moja. Kwenye suala hili msimamo wangu niliuweka wazi hat kabla Mtei Hajasema.
Walioandika wameunganisha tu tweets zangu na kauli ya Mtei ambayo siiungi mkono hata kidogo. Mzee was mistaken.
Tume ya Katiba imeteuliwa kwa mujibu wa sheria. Haina Udini. Ina wajumbe ninaowaheshimu sana. Twende tukatoe maoni. Tuache maneno yasiyo na maana yeyote.
hivi tujiulize kama wajumbe wote wanaotoka tanganyika wangekuwa woote ni wakristo ama waislamu kuna mtu angeelewa kweli? Nakuhakikishia pangechimbika. Kwa upande wa zanzibar wajumbe kutokuwepo mkristo hata mmoja japo sii sheria bali busara kunamaanisha Zanzibar ni waislamu kwa asilimia mia moja. Na inamaanisha maslahi ya wakristo wachache waliopo hakuna wa kuyapigia chupuo katika maoni yanayotarajiwa kukusanywe. Busara haionyeshi kwamba kuna nia njema kwa hawa watu wasio waislamu katika visiwa hivi.
.
Fikiria kwa makini alichokisema
Kisha uamue kama alichokisema ni uongo au ukweli?
Zitto mwenyewe anakana kuwa hajayasema yaliyoandikwa na gazeti hilo
kazi kweli kweli
Wabongo mnanishangaza sana kuhusu suala la udini.
Yaani nyinyi mtu kuitwa Abdallah au John tayari mmesham-categorize kwenye dini fulani.
Mnasahau kua dini sio Jina, bali vitendo. Hivi mnawajua vizuri kimatendo hao mnaowaita waislam/wakristo???
Ok, tume ina wajumbe wengi wenye majina ya kiislam so wakristo wanalalamika, but waislam nao walalamike kwa kua Mwenyekiti wake Warioba ana jina la Kikristo????
Unataka ku-balance members between Zanzibar na Bara kwa kuweka idadi sawa. Zanzibar 99.99% ni waislamu so nusu ya wajumbe wote inakua waislam.
Unakuja bara atleast ni nusu kwa nusu so Bara unapata nusu waislam, nusu wakristo,
Mwisho wa Siku unategemea nini hapo?? Kosa liko wapi hapo??
akikosea mzee.... Magamba watatumia hii kauli kuimaliza chadema.. kwa hili nipo na zito...
We na Mtei wako wadini wakubwa na roho zenu zina kutu mbaya kama chuma kilicho ardhin tangu mwaka 47. Nawe ni miongoni mwao wadini wakubwa.
Hujasoma alichokiandika Mtei? Na imedhibitika ndiye baada ya Mnyika kusema hayo ni maoni yake na sio chama. CHADEMA sasa umedhibitika udini!
Lipo hapo kwenye kujaribu kubalance
Ukiacha alichofanya, Otherwise ingekua ni vurugu zaidi.
Mfano Kwakua Zanzibar karibia wote ni Waislam basi Bara angeweka wote Wakristo.
Au vurugu ingine ni pale idadi ya Wanzibar ingepunguzwa halafu wakachanganywa na Waislam kadhaa wa Bara ili waje walingane Na Wakristo wa Bara.
Lakini tuna tume ngapi zimeundwa hakuna aliezungumzia udini mpaka linakuja linaibuka leo???
Gender imebalance?? Makabila je?? Au Rangi?? Wajihi?!! Itikadi za kisiasa??
Why udini???
Wabongo mnanishangaza sana kuhusu suala la udini.
Yaani nyinyi mtu kuitwa Abdallah au John tayari mmesham-categorize kwenye dini fulani.
Mnasahau kua dini sio Jina, bali vitendo. Hivi mnawajua vizuri kimatendo hao mnaowaita waislam/wakristo???
Ok, tume ina wajumbe wengi wenye majina ya kiislam so wakristo wanalalamika, but waislam nao walalamike kwa kua Mwenyekiti wake Warioba ana jina la Kikristo????
Unataka ku-balance members between Zanzibar na Bara kwa kuweka idadi sawa. Zanzibar 99.99% ni waislamu so nusu ya wajumbe wote, yaani wale wa Zanzibar wote inakua waislam.
Unakuja bara atleast ni nusu kwa nusu so Bara unapata nusu waislam, nusu wakristo,
Mwisho wa Siku unategemea nini hapo?? Kosa liko wapi hapo??