Mzee Mshana jr msaidie jamaa yetu

Mzee Mshana jr msaidie jamaa yetu

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,937
Reaction score
10,815
Jamaa yangu juzi kafunga 40yrs old,

Analalama ameanza kuumwa viungo vya mwili vibaya mno, anadai miguu yake imekufa ganzi Muda MREFU unyayoni,
Analalama mwili wake wote kuwa Kuna vitu vinamchoma choma km sindano anaishia kujikuna Kuna.

Ngozi yake aina ushirikiano na mwili miguu imempauka km kenge.

Anahisi ametupiwa jini Makata je ni kweli? Karibu Mzee wa mitishamba
 
MWAMBIE aachane na kula wali na mawanga. Atembee sana. Aache pombe apate lishe nzuri. Aache kunywa caffeine na kahawa. Awe anatengeneza kinywaji Cha maji moto chenye hiliki, karafuu, bayleaf na manjano ni dawa.
Asiwe na mastress na awe na Roho nzuri na asisahau ibada.
Life starts at 40, MWAMBIE lkn kupanga ni kuchagua life can end at 40 pia mweleze
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom