Mzee mkapa na mwinyi igeni ya collin powell | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee mkapa na mwinyi igeni ya collin powell

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by urasa, Sep 2, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ktk uchaguzi wa usa uliopita kulikuwa na ushindani mkubwa kati ya chama cha democratic na republican,wagombea wao walikuwa obama na mzee macain,dakika za mwisho za kampeni kada mtiifu wa republican na waziri mstaafu wa mambo ya nchi za nje gen. Powel alivaa uzalendo na kusema ingawa yupo republican ila chaguo sahihi kwake na kwa wamarekani ni obama wa democratic,rai yangu ni kutaka mkapa na mwinyi kama wazee wetu wawaambie watanzania kwa mapenzi mema ya taifa letu wamchague dr slaa kwa manufaa ya taifa letu
   
 2. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  WE Mchaga (Urasa) kila unayemuona unafikiri ni chadema tu? To bias thread. Hata haifai kuletwa humu. Bora mara 100 ungesema wawaambie chama cha kuchagua ambacho kinaweza kuwa CUF, CCM, NCCR, TLP na hata jahazi asilia.
  Nonsense thread!
   
 3. Bambo

  Bambo JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 237
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  hawa chadema nao toka wajue hili jamvi ni la kwao basi wanarusha kila kitu hata mambo ya ulevini!!!!!!
   
 4. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  No way, No how, No Slaa.
   
 5. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  haya mapambio tu,


  tusikimbiane baada ya uchaguzi. ila nnajua sababu hazitokosekana kwenu. watanzania wajinga, watanzania hawana akili, tume si huru, katiba ina dosari inapendelea chama tawala.


  ila itabaki kuwa watanzania sasa wana uelewa mkuu na wanajua wanachokifanya. wanajua tukashangae mahelikopta na manjonjo ya chadema ila kwa kuwaachia nchi ni nani.


  jengine kwa ndugu Slaa bado, na nia ibu kubwa kwa viongozi wetu kuwafanya mambumbu, alau kwa zanzibar wangesema sawa na maalim anaweza kupewa inaingia akilini.


  lakini kwa huku hata Lipumba bado, bado upinzani kuwachiwa nchi bado sana. kwanza ni watu wa zima moto, angalia mgombea wenu mlimpataje utaona kuwa ni wazima moto tu nyny?

  jipangeni ondoeni ukabila na umajimbo na udini na utanganyika na uzanzibari halafu mje tena


  kwanza itokee kimakosa mmeshinda (na haitokei labda mama yangu mwanamme ) basi hamuwezi kuuulinda muungano si watu wenye busara hata kidogo ni wasema ovyo tu
   
Loading...