jamani wadau huyu mzee mfugale ni mkandamizaji vibaya kuna wafanya kazi wamefanya wamefanya kazi peacock hotel zaidi ya miaka kumi lkn juzi gafla kaja na mikatba mipya et wafanyakazi wote wa saini contract kwamba wapo kwenye probation period,staff wengi waligoma kusaini basi akasema ambae hata saini kazi basi,vijna wengi wameacha kazi na hawajui cha kufanya,heu wadau tujaribu kuangalia nini cha kufanya coz wengine wapo mtaani kwangu
Huyu si mhehe huyu, sasa naanza kuwaogopa wahehe
Huyu si mhehe huyu, sasa naanza kuwaogopa wahehe
Kazi zilvyo ngumu tumikia kafiri upate mradi wako.jamani wadau huyu mzee mfugale ni mkandamizaji vibaya kuna wafanya kazi wamefanya wamefanya kazi peacock hotel zaidi ya miaka kumi lkn juzi gafla kaja na mikatba mipya et wafanyakazi wote wa saini contract kwamba wapo kwenye probation period,staff wengi waligoma kusaini basi akasema ambae hata saini kazi basi,vijna wengi wameacha kazi na hawajui cha kufanya,heu wadau tujaribu kuangalia nini cha kufanya coz wengine wapo mtaani kwangu
Tatizo lake Hana shule hata darasa moja, jina lake hajui kuandika. Alimpeleka mtoto wake shule ili aendeshe biashara zake, lakini hamsikilizi hata chembe, mzee anajifanya anajua na ni mbishi asiye mfanojamani wadau huyu mzee mfugale ni mkandamizaji vibaya kuna wafanya kazi wamefanya wamefanya kazi peacock hotel zaidi ya miaka kumi lkn juzi gafla kaja na mikatba mipya et wafanyakazi wote wa saini contract kwamba wapo kwenye probation period,staff wengi waligoma kusaini basi akasema ambae hata saini kazi basi,vijna wengi wameacha kazi na hawajui cha kufanya,heu wadau tujaribu kuangalia nini cha kufanya coz wengine wapo mtaani kwangu
mapaja?
mapaja?
unayataka?au?
ahahahhahahahhahah si ya huyo uliyemswalika?lol:rofl:ya nani?
Tatizo lake Hana shule hata darasa moja, jina lake hajui kuandika. Alimpeleka mtoto wake shule ili aendeshe biashara zake, lakini hamsikilizi hata chembe, mzee anajifanya anajua na ni mbishi asiye mfano