Mzee Mengi ndani ya dreamliner yetu!

hakuna kitu kizuri kama kuepuka battle na serikali kama na hainaulazma wala manufaa, haijailish upo sahihi au laaa. Mtu aliye salama zaid n yule asiye na ushirika wala ugomv na serikali
 
pale mwanaume unapojipendekeza kwa mwanaume mwenzio-hatari tupu
 
Mengi kawa Muoga sana,nikikumbuka kipindi cha Mkapa na JK alikuwa ana jeuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…