Mzee mengi na nico! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee mengi na nico!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by utiyansanga, Dec 22, 2010.

 1. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2010
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa muda mrefu kidogo Mwalimu Mkuu wa Watu ,MWANDISHI wa makala gazeti la Tanzania Daima ailandika kwa uchungu kuhusu alichokiita ufisadi alioufanya mzee Mengi katika kampuni ya uwekezaji ya NICO.Nilitarajia angalau kungekuwa na mwitikio lakini sikuwahi kusikia angalau tu hata mzee Mengi KULALAMIKA!Naomba mtu mwenye ufafanuzi wa hili atueleze imejaribu kutafuta magazeti hayo ni nukkuu sijaweza .Lakini kutokana na hadhi ya mzee mengi na cheo alichojipa cha Kumsaidia Rais kupambana na ufisadi hakustahili kukaa kimya,nawasilisha.
   
 2. G

  Godwine JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2010
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kazi hipo ndani ya bongo,,,hivi kwanini kampuni ya nico haitoi gawio na hisa zake zimeshuka bei kiasi hiki na haziuziki?
   
 3. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,385
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  Wajinga ndio waliwao kama ulitishika na status yake ndo imekula kwako
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  "Bongopreneurship, full of false deals"
   
 5. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Mengi alijitoa NICO siku nyingi na aliweka kila kitu hadharani tena baada ya kuona mambo ya nico yamekaa ndivyo sivyo kwa maana ya ubabaishaji fulani wa kula hela ya wadau waliowekeza kiasi kidogo ambao ndiyo wengi kwa utitiri. walijiunga kwa kampeini ambayo hawakujua adhari zake
   
 6. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mdogo wake benjamin mengi ndiye aliyewaliza nico kwa kuanzia kiwanda cha interchem ambacho kilifilisika muda mfupi baada ya kukinunua
   
Loading...