Mzee Matson Chizi Mwizi maarufu wa Kura aliyehama CCM na kujiunga CHADEMA

Juliana Shonza, usipende kuongea kila kitu, vitu vingine unapaswa kunyamaza tu maana utakuwa unajidhalilisha wewe, watu wanaokuzunguka na hata chama chako.

Sasa hapo unataka kuwasilisha nini sasa, CCM walikuwa wanamtumia MATSON CHIZI kuiba kura na kwa maana hiyo miaka yote walipata ushindi kwa njia za wizi wa kura. Hatari sana kuwa na watu wenye akili kama hii nao wakijipambanua kuwa ni viongozi. AIBUU.
Tafsiri ya nilichokiandika kitatokana na uwezo wako wa kusoma kuelewa na kupambanua maandishi yangu..,na let me assure U kuwa i'm only responsible na ninachokiandika but i'm not responsible na unavyotafsir..tafsiri ni mali yako, sina kawaida to get crossed onto others business...
 
In maana Juliana Unakiri kuwa miaka yote katika chaguzi mlikuwa mnaiba kura?????

yaani hakuna mwaka mlioshinda kihalali isipokuwa kuiba tu???

Hongera sana mbona mwaka huu yatawatoka mengi!!!!!! mmeshikwa pabaya mwaka huu.

Hongera kwa kulielewa hilo kuwa mwaka huu hamuwezi kuiba tena na goli la mkono mkapigie bafuni tena halitoi mtoto.

Raha iliyoje kumbe mnajiandaa kisaikolojia kuikabidhi nchi kwa UKAWA.

Heri yako uliye jua mapema kabla ya tarehe 25/10/2015

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Juliana ni Mbunge anayesubiria kuapishwa katika Bunge la Jamhuri la Awamu ya TANO.

Ndio maana hii nchi haiendelei na haitakaa ipate maendeleo. AIBUU kwa Tanzania.

Tanzania, je ni nani aliyekulaani? Nchi hii inahitaji maombezi, watu wema kama kina FILIKUNJOMBE wanapotea, kwa nini iwe hivyo na si vinginevyo?

EEE mola, Muda wa mateso wa watu wako wa Tanzania unatosha.
 
Juliana Shonza, usipende kuongea kila kitu, vitu vingine unapaswa kunyamaza tu maana utakuwa unajidhalilisha wewe, watu wanaokuzunguka na hata chama chako.

Sasa hapo unataka kuwasilisha nini sasa, CCM walikuwa wanamtumia MATSON CHIZI kuiba kura na kwa maana hiyo miaka yote walipata ushindi kwa njia za wizi wa kura. Hatari sana kuwa na watu wenye akili kama hii nao wakijipambanua kuwa ni viongozi. AIBUU.
Dada angalia mdomo wako, unachoandika hapa kinaweza kukusimamisha Mahakamani!
Kumbuka umeibukia enzi ya JK na huyu huyu JK na jopo lake wana siku ya kesho tu katika utawala, usifikiri hata akija Magufuli achilia mbali EL ataendekeza na kukubaliana na ujinga huu wa kuwaita wazee wazima wezi!

Chizi ni jina lake au aka?
Ndivyo lilivyoandikwa kwenye passport yake ya kusafiria na vyeti vyeti vya taaluma....ila sina uhakika kama ni jina lake ama madoido tu...maana tunaishi katika zama za mwisho kila kitu kinawezekana, hata jua kuchomoza kutoka magharibi na kuzama mashariki.
 
Juliana Shonza

Mfumo wa upigaji kura tarehe 25-10-2015 utakuwa ni uleule wa zamani pamoja na kuwa na vitambulisho vipya vinavyotokana na mfumo wa biometric voter (akili za mabayuwayu changanya na za kwako) km CCM walikuwa wanaiba wizi wa kura utakuwa palepale huyo mwizi uliye mtaja hajaondoka na mfumo (when you start a thread you have to think wild rather outside the box) this time gf is no longer for great thinker instead for CCM die hard
 
Last edited by a moderator:
Juliana ni Mbunge anayesubiria kuapishwa katika Bunge la Jamhuri la Awamu ya TANO.

Hivi unadhubutu kumtaja mtu kabisa kwa jina lake na huku wewe unajulikana wazi upo hapa km verified member? Unatudhibitishia madai ya upinzani siku zote kwamba CCM ni wezi wa kura? kwa hiyo hili la kulinda kura ni sawa kumbe wapinzani hawajakosea!

Anyway unajiamini nini kumtuhumu mtu hapa waziwazi? Una ushahidi. Ukipelekwa mahakamani kudhibitisha tuhuma zako utaweza? Umesahau upo hapa JF km verified member? Huyo uliyemtaja au watoto wake wakkufanyizia utamlaumu nani? Usiingie kichwa kichwa kwenye siasa Juliana! Utapotezwa ukiwa motto mdogo! Jifunze kuwaheshimu wazee. usijazwe kiburi na Mwigulu ukajiona wewe basi ndio umefika! narudia tena. Dada yangu kuwa mnyenyekevu, heshimu watu. Utapotezwa! haya! Kumbuka wewe ni verified member narudia tena. Utajikuta unaishi maisha ya kujificha na hofu km mkimbizi ndani ya nchi yako. wacha kutuhumu watu hapa mambo mazito kwa kutumia verified account yako. Tumia account ya kificho kificho kwa threads km hizi. Kina Lizabon na wenzako wanapokuja na tuhuma wanajicha hawaji na majina yao halisi. dada usivamie siasa kichwa kichwa utapotezwa. huyu Chizi alikuwa anaiba ili ccm ishinde na unawaambia watanzania leo kwamba ccm ilikuwa inashinda kwa wizi wa kura! Julina upo sawa kweli? maskini!
 
Ndivyo lilivyoandikwa kwenye passport yake ya kusafiria na vyeti vyeti vya taaluma....ila sina uhakika kama ni jina lake ama madoido tu...maana tunaishi katika zama za mwisho kila kitu kinawezekana, hata jua kuchomoza kutoka magharibi na kuzama mashariki.

Acha kujadili na kushambulia mtu binafsi, jadili hoja. Hilo jina linahusiana nini na wizi wa kura. Mbona wazungu wana majina kama Woodgate, Southgate, Sandbloom, Bush na bado mnawaabudu. Hilo ni jina la ukoo ukilitamka kiswahili linakuwa na maana hiyo ya CHIZI. Magufuli, Kulikoyela, Kumalija, Chenge, Kafumu, et al
 
Dizaini kama umepanick hivi, naona unakosa consistence, ulipoanzia na ulipoishia ni Makkah na Jerusalem.
 
Ndivyo lilivyoandikwa kwenye passport yake ya kusafiria na vyeti vyeti vya taaluma....ila sina uhakika kama ni jina lake ama madoido tu...maana tunaishi katika zama za mwisho kila kitu kinawezekana, hata jua kuchomoza kutoka magharibi na kuzama mashariki.
Kweli kabisa mkuu, hapa nakubaliana na wewe. Kila kitu kinawezekana zama hizi...
Kama Twiga aliweza kupanda ndege? Basiiii!
 
JULIANA SHONZA Wewe ni mfano mzuri wa watanzania wanaotumia vizuri elimu yao KUFIKIRI na KUELIMISHA bila ya kupotosha. Ukweli ni kuwa hakuna uwezekano wa KUIBA KURA katika mfumo wa Sheria na Tume ya Uchaguzi. Kuna mifano: 1. Katika kila kituo cha kupiga kura na kuhesabu kura, kutakuwa na mawakala wa vyama watakaolinda maslahi ya kila chama: ACT, ADC, CHADEMA, UPDP, CHAUMMA, NRA, CCM, TLP. 2. Waangalizi wa Uchaguzi wa ndani na wa Nje pia watakuwepo. 3. Waandishi wa Habari watakuwepo. 4. Maadili ya Uchaguzi iliyosainiwqa na vyama vyote tarehe 27/7/2015 inatoa nafasi ya wote wenye ushahidi wa mipango ya “Kuiba Kura” wawasilishe malalamiko yao ndani ya Hao wananchi wanaoambiwa kuwa ni Walinzi wa KURA ni wahalifu na wachukuliwe hatua. Hatua ichukuliwe pia dhidi ya WOTE wanaowachochea wananchi kwa maneno na kuwapa “hadhi ya ulinzi wa kura.”
 
Yule mwizi maarufu wa kura aliyejulikana kwa jina la Matson Chizi (64) msukuma wa Shinyanga ameamua kujiunga na CHADEMA kwa kazi maalum ya kuiba kura za CCM na kuwaguarantee ushindi CHADEMA na UKAWA.
We dada yaani unataka kutuaminisha kwamba CCM wamekuwa wakiwaibia kura wapinzani miaka yote? angalia wanaweza kukunyanganya kadi yao, kuwa mwangalifu - yaani unataka kutuamisha kwamba CCM wamem- train na kumwezesha huyu jamaa kuwa mwizi nguri wa kura za upinzani miaka yote siyo?

Yaani CCM wamekuwa hawashindi kihalali kwenye chaguzi zake? futa kauli na uwaombe radhi - ama sivyo CCM wakuchukulie hatua za kinidhamu maana hizi tuhuma ulizowapa leo ni nzito.
 
Juliana mbona unajikanganya hivi tukueleweje? Post yako ya kukerwa na mashambulizi machafu kwa mama Lowasa yalianza kunipa matumaini kuwa umeamua kuondokana na image yako chafu na kujikita kwenye maswala ya msingi ya kitaifa kwa kuzingatia maadili na utu. Leo naona umepiga "about turn" ya ajabu sana na kurudi uchafuni. Labda unakabiriwa na usongo au? Sio mbaya kama ukitafuta msaada wa ushauri nasaa sio jambo baya. Ubarikiwe
 
Back
Top Bottom