Mzee Matson Chizi Mwizi maarufu wa Kura aliyehama CCM na kujiunga CHADEMA

Katika kipindi ambacho CHADEMA na UKAWA wanatakiwa kurelax sana katika chaguzi zote kubwa na ndogo ni kipindi hiki, ambacho Yule mwizi maarufu wa kura aliyejulikana kwa jina la Matson Chizi (64) msukuma wa Shinyanga ameamua kujiunga na CHADEMA kwa kazi maalum ya kuiba kura za CCM na kuwaguarantee ushindi CHADEMA na UKAWA.


Kwa mara ya kwanza kulisikia jina hili, ilikuwa 2012 Arumeru kisha kwa mara ya pili nikalisikia nilipojiunga CCM na kwa mara nyingine jina hilo lilitamkwa na Dr Wilbrord Slaa katika press yake na waandishi wa habari katika ukumbi wa Serena mnamo tarehe 01/09/2015 akieleza juu ya kujiondoa kwake CHADEMA na kustaafu siasa baada ya uhuni wa kuletwa LOWASSA na timu yake ya wezi ya akina MATSON CHIZI.


Lakini nasikia bado kuna mashaka kwa CHADEMA, nasikia mwanasheria wao “zuzu” ninayemjua John Mallya, amesema wanachama wanapaswa kulinda kura kwa sababu CCM wamepanga kuiba. AJABU ya mwaka, mwizi amehama CCM na alikohamia ni CHADEMA na bado CHADEMA wana mashaka ya kuibiwa kura…kwanini mashaka hayo wasiwenayo CCM ambae wamepoteza MWIZI wao..?


Kimsingi MBOWE na timu yako mmeshalikoroga.,subirini kulinywa tu, hakuna namna..!!


IMG_1080.JPG

Matson Chizi (kushoto) Juma Haji Duni (katikati) na Edward Ngoyai Lowassa.


Mama leo tena umefuatilia wenzako jana" Mawakili Uchwara", nadhani wangemuweka mahabusu tena ulikuwa umeshaandaa heading yenye kiapo i.e nimeolewa, ni mbunge, ninasomea,.........., hii ya leo nadhani haikuwa habari uliyoiandaa,
 
Mama leo tena umefuatilia wenzako jana" Mawakili Uchwara", nadhani wangemuweka mahabusu tena ulikuwa umeshaandaa heading yenye kiapo i.e nimeolewa, ni mbunge, ninasomea,.........., hii ya leo nadhani haikuwa habari uliyoiandaa,
Hahahahah,phd on sociology,ni mpentekoste,nina miaka 30,,
 
Back
Top Bottom