Mzee Mangula kufunga ndoa na mwalimu kesho...

OK. Tuwaombee maisha mema. Amekuwa mvumilivu sana kuishi muda wote huu bila mke.

Huyu mzee kahalalisha tu. Sidhani kama alikuwa singo miaka yote hiyo tangu 2004 ukitegemea na nafasi aliyokuwa nayo. Tunamtakia mema btw.
 
Ni jambo jema mkuu we oa tu uwe na wako wa kukutunza
 
Nape ameshaandaa gitaa kwa ajili ya ku-grab attention ya wahudhuriaji.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 


hapo kwenye nyekundu......hii nchi ni ufuska kwa kwenda mbele.....sasa jiulize hao makahaba wanapata paspoti wapi? au ni free pass ili kuja kustarehesha watawala
 
sometimes watu mna majungu humu! eti pinda ndo bestman na wasira maid kwani kuna shida gani?
hongera mangula kwa kupata ndoa ya pili
 
Wamekutana baada ya kupata Umakamu wa CCM Taifa? Mwalimu mkuu shule ya sekondari Phillip Mangula na mme mtarajiwa Phillip Mangula is it coincidence? Mangula mke wake ni marehemu, je Bi harusi mtarajiwa nae mme wake ni marehemu?

Ni pagale!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…