Mzee Makamba ni vema kutoitikia wito

chikambabatu

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
1,334
1,318
Pamoja na kuwa hamna aliye juu ya chama kwa wanachama, lakini naamini kuheshimiana ni jambo muhimu sana, bila kujali nafasi ulizowahi kushika, lakini umri wako tu ilitosha wajiulize namna wanavyokuita, (yaani mimi nisingeenda kamwe) kuitwa kwanza na vyombo vya habari, hata ikija barua ni haina tena uzito.

Upande wa chama ni bora mngeunda tume/kamati muwafuate wazee na muongee nao, kama kuna shida mnatatua kiutaratibu bila kuacha majeraha ndani ya chama (hiyo ndio kazi ya cha ndani ya chama) amjachelewa.

Ila sikubaliani kuwahita wazee hao Kinana na Makamba, na naomba wasijali kama watafukuzwa chama, hiyo juu yao.
 
Kwa hili muwaache wenyewe waamue. Wakiona kuna umuhimu wa kuitika kama wao walivyokuwa wanawaita wengine, sawa. Wakiona hawawezi, sawa.
 
P
Nimeisoma analysis yako kaka, asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mzee Makamba kumpigia simu mwanae January ni kosa?

Sijasikia mzee Makamba akizungumza chochote kuhusu Mwenyekiti wa CCM katika yale mazungumzo aliyoyafanya na mwanae
 
Back
Top Bottom