Wapinzani wamethibitisha CCM ni chama kikubwa na kinaaminiwa sana na wananchi. Mmelitendea vema taifa kuwatahadharisha wananchi kuchagua upinzani.

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,590
4,601
Tangu wazee wetu ndani ya CCM ambao wamewahi kuwa makatibu wakuu wa chama kwa nyakati tofauti, Mzee Makamba na Mzee Kinana kutoa waraka wao, nimejifunza jambo moja kubwa nalo ni Imani waliyonayo upinzani kwa CCM na upinzani unaamini CCM ni kubwa sana kuweza kutolewa na upinzani wa sasa.

Sitaki kuzungumzia waraka wala chochote kinachowahusu viongozi hao wastaafu kwa sababu ni suala la kichama na chama kina taratibu zake ambazo sisi wanachama hatuwezi kuziingilia. Mjadala wetu utaegemea ni jinsi gani wapinzani wanavyozungumzia waraka na CCM kwa ujumla.

Kwa siku chache hizi toka waraka umetolewa nimejifunza jambo moja kwa hakika kwa upinzani juu ya CCM, wapinzani wanaamini kwamba CCM ni chama kikubwa sana( maoni ya wapinzani wengi) na kutolewa kwa waraka ule wapinzani wanaona kama ni mgogoro ndani ya chama na wanataka kutumia huo wanaodhani na kufikiri ni mgogoro kama fursa ya kuinua vyama vyao ambavyo vingine bado ni vichanga na vingine vimekuwa ni dhaifu.

Upinzani unaamini kuwa kwa nguvu, uwezo na kukubalika kwa CCM sasa haitawezekana kwa CCM kuondoka madarakani ndani ya miaka 20 ijayo labda kwa miaka 100 au karne 2 zijazo na ukweli ndio huu. Wanaona watanufaika na migogoro ndani ya CCM kwa sababu CCM ilivyo sasa inatisha sana na uwezekano wa kushinda uchaguzi wa serikali za mitaa ni 95% na uchaguzi mkuu ni 90%.

Wapinzani wametupatia kanuni moja kubwa ambayo ni kutumia migogoro ya kisiasa ndani ya CCM kujinufaisha na kujitangaza kisiasa lakini hali hiyo ya kutumia migogoro kutokuwepo kipindi hiki cha Rais Magufuli ndio maana tunaona upinzani umekuwa dhaifu sana na ndio maana wanahakikisha tofauti ndogo ndani ya CCM wanaukuza ili uonekane ni mgogoro.

Nawahahakishia upinzani CCM ya rais Magufuli hakuna migogoro yeyote ya ninyi kuitumia kama fursa na kutoka na kukosekana kwa migogoro hiyo jiandaeni kwa anguko kubwa la kisiasa.

Mmelitendea vema taifa kwa kuwatahadharisha wananchi kwamba upinzani uliopo ni wa kunufaika na fursa za migogoro kutoka CCM na si wa sera.
 
Kwenye kutafuna nchi na kuwanyonga wale wanaojiita wanyonge,kweli ni chama kubwa na hakina mbadala
 
.
FB_IMG_1563471458364.jpeg
 
Soma sana vitabu vitakuongezea upeo mkuu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Fisadi anapigaje vita ufisadi,unaweza kuwa unapinga then ukamchukia CAG na kuzuia mijadala live ya Bunge?
Ile kesi ya dhahabu za Mwanza imefutwa ninachojiuliza "Mwenye mali amerudishiwa mzigo wake? Je ile kashfa amelipwa fidia?" Ooops kumbe ni kwa maslahi mapana ya Taifa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tangu wazee wetu ndani ya CCM ambao wamewahi kuwa makatibu wakuu wa chama kwa nyakati tofauti, Mzee Makamba na Mzee Kinana kutoa waraka wao, nimejifunza jambo moja kubwa nalo ni Imani waliyonayo upinzani kwa CCM na upinzani unaamini CCM ni kubwa sana kuweza kutolewa na upinzani wa sasa.

Sitaki kuzungumzia waraka wala chochote kinachowahusu viongozi hao wastaafu kwa sababu ni suala la kichama na chama kina taratibu zake ambazo sisi wanachama hatuwezi kuziingilia. Mjadala wetu utaegemea ni jinsi gani wapinzani wanavyozungumzia waraka na CCM kwa ujumla.

Kwa siku chache hizi toka waraka umetolewa nimejifunza jambo moja kwa hakika kwa upinzani juu ya CCM, wapinzani wanaamini kwamba CCM ni chama kikubwa sana( maoni ya wapinzani wengi) na kutolewa kwa waraka ule wapinzani wanaona kama ni mgogoro ndani ya chama na wanataka kutumia huo wanaodhani na kufikiri ni mgogoro kama fursa ya kuinua vyama vyao ambavyo vingine bado ni vichanga na vingine vimekuwa ni dhaifu.

Upinzani unaamini kuwa kwa nguvu, uwezo na kukubalika kwa CCM sasa haitawezekana kwa CCM kuondoka madarakani ndani ya miaka 20 ijayo labda kwa miaka 100 au karne 2 zijazo na ukweli ndio huu. Wanaona watanufaika na migogoro ndani ya CCM kwa sababu CCM ilivyo sasa inatisha sana na uwezekano wa kushinda uchaguzi wa serikali za mitaa ni 95% na uchaguzi mkuu ni 90%.

Wapinzani wametupatia kanuni moja kubwa ambayo ni kutumia migogoro ya kisiasa ndani ya CCM kujinufaisha na kujitangaza kisiasa lakini hali hiyo ya kutumia migogoro kutokuwepo kipindi hiki cha Rais Magufuli ndio maana tunaona upinzani umekuwa dhaifu sana na ndio maana wanahakikisha tofauti ndogo ndani ya CCM wanaukuza ili uonekane ni mgogoro.

Nawahahakishia upinzani CCM ya rais Magufuli hakuna migogoro yeyote ya ninyi kuitumia kama fursa na kutoka na kukosekana kwa migogoro hiyo jiandaeni kwa anguko kubwa la kisiasa.

Mmelitendea vema taifa kwa kuwatahadharisha wananchi kwamba upinzani uliopo ni wa kunufaika na fursa za migogoro kutoka CCM na si wa sera.
una utapia mlo wee kichaa wewe
 
Mbona kwa maandiko yako ni kama vile ccm ( 60yrs) bado haijiamini mpaka isikilizie upinzani unasemaje,
 
Mngejua namna kundi la watu wachache wanavyopiga pesa ktk awamu hii nyie acheni tu. Ni suala la muda tu mtakuja kuona ufisadi wa kutisha
 
You are missing the point. Sio kwamba watz wanakiamini chama chenu bali watz wanapenda maisha ya drama na ndio maana wataalamu wa mambo wakasema ngoja tuzushe kuna video ya ngono ya Uwoya.
Na watz kwa kupenda ngono wote wakamiminika huko huko kutafuta kitu ambacho hakipo.
 
Back
Top Bottom