Sabato masalia
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 228
- 134
Akiwa amebakiza masiku machache sana katibu mkuu kiongozi mzee Luhanjo yuko katika heka heka kubwa kuwaweka watu wake katika nafasi ya ukurugezi mkuu wa PSPF na TIC, Mzee Luhanjo pale PSPF anahaha kumuweka bwana Masha na Kule kituo cha uwekezaji TIC anahaha kumuweka bwana Mbilinyi.
mzee Luhanjo anapambana sana kuona haya masiku machache yaliyobaki katika kiti chake anafanikiwa mpango wake huo mbovu. wana JF habari ndio hiyo ya babu yetu mamvi.
Hili sahau ndugu, pesa aliyonayo inamtosha kuishi yeye hadi wajukuu zake bila bughudha, na isitoshe bado ana watu kwenye system wanaomlinda!!Tunamsubiri mtaani aje aonje joto ya jiwe kuishi bila mamlaka
niambie hao watu wawili wakifanikiwa kupata hizo nyadhifa wataleta madhara gani kwenye hizo taasisi, maana umeuita ni mpango mbovu nami siwafahamu vyema hao mabwana
Halafu atapewa kuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi na member wa bodi nyingi tu za mashirika au idara nyetu za umma. Atateuliwa na raisi (kama Yusuf makamba) kuwa mbunge halafu anapewa uwaziri.Hili sahau ndugu, pesa aliyonayo inamtosha kuishi yeye hadi wajukuu zake bila bughudha, na isitoshe bado ana watu kwenye system wanaomlinda!!
Akiwa amebakiza masiku machache sana katibu mkuu kiongozi mzee Luhanjo yuko katika heka heka kubwa kuwaweka watu wake katika nafasi ya ukurugezi mkuu wa PSPF na TIC, Mzee Luhanjo pale PSPF anahaha kumuweka bwana Masha na Kule kituo cha uwekezaji TIC anahaha kumuweka bwana Mbilinyi.
mzee Luhanjo anapambana sana kuona haya masiku machache yaliyobaki katika kiti chake anafanikiwa mpango wake huo mbovu. wana JF habari ndio hiyo ya babu yetu mamvi.
Akiwa amebakiza masiku machache sana katibu mkuu kiongozi mzee Luhanjo yuko katika heka heka kubwa kuwaweka watu wake katika nafasi ya ukurugezi mkuu wa PSPF na TIC, Mzee Luhanjo pale PSPF anahaha kumuweka bwana Masha na Kule kituo cha uwekezaji TIC anahaha kumuweka bwana Mbilinyi.
mzee Luhanjo anapambana sana kuona haya masiku machache yaliyobaki katika kiti chake anafanikiwa mpango wake huo mbovu. wana JF habari ndio hiyo ya babu yetu mamvi.
Fisi mkuu kumkabidhi fisi mwenzie bucha hujashtuka bado?
Tunamsubiri mtaani aje aonje joto ya jiwe kuishi bila mamlaka
Majungu, na ujinga tu.
Ndo maana mnaona wakongwe siku hizi tunakaa pembeni. Vijana mnafanya JF kama jukwaa la majungu na unafiki.
- Kwanini hao watu hawafai?
- Luhanjo ndie mwenye mamlaka ya mwisho kuwaweka hao watu na sio rais?
- Nani ulitaka apewe nafasi hizo au mojawapo?
- Usaili ulifanyika na wenye sifa wakatupwa?
- Sifa kwako ni nini? Ma PHD yaliyojazana serikalini huko na hamna kitu au UCHAPA kazi?
Mods hawa waleta hoja za vihoja kama hawa wakishondwa kujibu maswali naomba mume mnaifungilia mbali TOPIC.