Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kuwa DC Kama kijana wake. Alimsomesha mwanaye nchini Marekani. Ushamba wa madaraka kautoa wapi?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,471
Ktk uchunguzi wangu nimebaini kuwa baba mzazi wa Lengai Ole Sabaya Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali serikalini ikiwa ni pamoja na UDC.

Pia nimekuja kugundua Sabaya alipata elimu yake nchini Marekani.

Sasa Cha kujiuliza mbona watoto wa viongozi wastaafu ni waadilifu?
Mbona ni tofauti kabisa kwa Sabaya?

Pia Sabaya katembea na kupata elimu ughaibuni, tena USA, Sasa ushamba wa madaraka kautoa wapi?

Exposure yoote hiyo lakini utadhani Layman?
 
Utaenda Marekani na mambo yako ya kiswahili na ushamba na kisha ukarudi nayo mambo hayohayo Tanzania na usionyeshe umebadilika.

Ushahidi wa hayo upo wa viongozi ambao huenda huko ughaibuni kujifunza na wakirudi hapa Tanzania hurejea kwenye ujinga wao uleule.
 
Back
Top Bottom