Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kuwa DC Kama kijana wake. Alimsomesha mwanaye nchini Marekani. Ushamba wa madaraka kautoa wapi?

Kusoma nje ya Africa sio kipimo cha uadilifu

Wala baba kuwa muadilifu sio kanuni ya kuwa watoto wawe waadilifu, maana ingekua hivyo tuu sisi wanadamu wote tungekua watakatifu kama Muumba wetu

Ole kashabeba mzigo wake tumwache na maisha yake mapya
 
Ktk uchunguzi wangu nimebaini kuwa baba mzazi wa Lengai Ole Sabaya Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali serikalini ikiwa ni pamoja na UDC.

Pia nimekuja kugundua Sabaya alipata elimu yake nchini Marekani.

Sasa Cha kujiuliza mbona watoto wa viongozi wastaafu ni waadilifu?
Mbona ni tofauti kabisa kwa Sabaya?

Pia Sabaya katembea na kupata elimu ughaibuni, tena USA, Sasa ushamba wa madaraka kautoa wapi?

Exposure yoote hiyo lakini utadhani Layman?
Babake mwenyewe alikuwa kichwa maji kama mwanaye tu
 
Ktk uchunguzi wangu nimebaini kuwa baba mzazi wa Lengai Ole Sabaya Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali serikalini ikiwa ni pamoja na UDC.

Pia nimekuja kugundua Sabaya alipata elimu yake nchini Marekani.

Sasa Cha kujiuliza mbona watoto wa viongozi wastaafu ni waadilifu?
Mbona ni tofauti kabisa kwa Sabaya?

Pia Sabaya katembea na kupata elimu ughaibuni, tena USA, Sasa ushamba wa madaraka kautoa wapi?

Exposure yoote hiyo lakini utadhani Layman?

Sirro amemswalisha kulikoni kutuzalia toto jambazi?

Kama jibu ni "la hasha."

Basi, swali lile kuwahusu familia ya Hamza pekee ni kuashiria ubaguzi kama wa kule UK tu 😁😁.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Sirro amemswalisha kulikoni kutuzalia toto jambazi?

Jama jibu ni "la hasha."

Basi, swali lile kuwahusu familia ya Hamza peke itaashiria ubaguzi kama wa kule UK 😁😁.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Namnukuu Siro..."wazazi naomba msizae watoto wa ovyo ovyo kama Hamza"...mwisho wa kumnukuu.
Hii nchi ngumu sana.
 
Yule mshamba tu kuishi kote huko Marekani anakula wali na wine.
Kwenye Kula hakuna ushamba, unajuwa kwamba the late Daniel arap MOI licha ya kuwa Rais lakini Kila siku alikuwa anakula mahindi ya kuchemsha ? Mugabe alipenda ugali wa mtama na mboga za kiafrica pia Mobutu alipenda Kula kisamvu. Hawa wote walikuwa na pesa nyingi mno ,ukijua anachokula Trump pia utamuona mshamba
 
Namnukuu Siro..."wazazi naomba msizae watoto wa ovyo ovyo kama Hamza"...mwisho wa kumnukuu.
Hii nchi ngumu sana.

Katiba mpya ni muhimu sana. Mule ndani itapendeza zaidi kuwa na namna ya kuwawajibisha wote walio wa hovyo hovyo kutokana kauli zao.

Hata hawa waongo waongo wasinyamaziwe kwa mujibu wa katiba 😁😁.
 
Ktk uchunguzi wangu nimebaini kuwa baba mzazi wa Lengai Ole Sabaya Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali serikalini ikiwa ni pamoja na UDC.

Pia nimekuja kugundua Sabaya alipata elimu yake nchini Marekani.

Sasa Cha kujiuliza mbona watoto wa viongozi wastaafu ni waadilifu?
Mbona ni tofauti kabisa kwa Sabaya?

Pia Sabaya katembea na kupata elimu ughaibuni, tena USA, Sasa ushamba wa madaraka kautoa wapi?

Exposure yoote hiyo lakini utadhani Layman?
Marekani alisomeea nn maana km ni sekondary tulikuwa nae Uganda
 
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom