FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
Kumekuwa na kila dalili ya mzee Lowasa kujiunga CCM, mara baada ya uchaguzi mkuu ikiwa ni kutokana na hofu yake ya kushitakiwa kwa matumizi mabaya ya mali za serikali pamoja na ufisadi. Washauri wake wa karibu pamoja na marafiki wake wakuu wamemtaka mara baada ya Dr Magufuli kuingia ikulu ni vema akarejea ktk chama chake ili kuweka mambo sawa kwa baadae tofauti na hapo hali yake kimaisha inaweza kubadilika sana.
Aidha kwa mujibu wa vyanzo vinavyoaminika vinasema Mzee Lowasa kujiunga na Chadema ni mojawapo ya mikakati ya muda mrefu ya CCM ktka kujiimarisha na kuongeza ushindi.
Wadadisi wa maswala ya kisiasa wanazidi kutabili kwamba ujio wa Dr Magufuli ktk nafasi ya urais pia ni mkakati wa muda mrefu ulioandaliwa na CCM ktk kujihakikishia ushindi tofaiti na mitazamo ya watu, wanasema Magufuli aliandaliwa sawasawa na si vinginevyo.
Kwa mazingira hayo chadema inaenda kubakia ktka historia ya vyama vya upinzani vilivyoibuka na kufa, poleni sana ndungu zetu wa chadema.
= kutabiri