Mzee Lowassa kurejea CCM baada ya Uchaguzi

Mzee Lowassa kurejea CCM baada ya Uchaguzi

Chadema ina interijensia lakini ya CCM ni kiboko kwani kuna vyama kutoka nje ya nchi vinakuja kujifunza

Kama umeshindwa kuelewa la maneno ya mtoa mada #tuliaKimyaOct jibu utapata
 
chadema tpo sawasawa hvyo vtu havpo sema hujui ulitendalo ccm imekuzdishia umaskin lakn bdo huelewek watu kama nyny wachache ndio mnaotpoza na liccm linalo tchakaza.
 
Kumekuwa na kila dalili ya mzee Lowasa kujiunga CCM, mara baada ya uchaguzi mkuu ikiwa ni kutokana na hofu yake ya kushitakiwa kwa matumizi mabaya ya mali za serikali pamoja na ufisadi. Washauri wake wa karibu pamoja na marafiki wake wakuu wamemtaka mara baada ya Dr Magufuli kuingia ikulu ni vema akarejea ktk chama chake ili kuweka mambo sawa kwa baadae tofauti na hapo hali yake kimaisha inaweza kubadilika sana.

Aidha kwa mujibu wavyanzo vinavyoaminika vinasema Mzee Lowasa kujiunga na Chadema ni mojawapo ya mikakati ya muda mrefu ya CCM ktka kujiimarisha na kuongeza ushindi.

Wadadisi wa maswala ya kisiasa wanazidi kutabili kwamba ujio wa Dr Magufuli ktk nafasi ya urais pia ni mkakati wa muda mrefu ulioandaliwa na CCM ktk kujihakikishia ushindi tofaiti na mitazamo ya watu, wanasema Magufuli aliandaliwa sawasawa na si vinginevyo.
Kwa mazingira hayo chadema inaenda kubakia ktka historia ya vyama vya upinzani vilivyoibuka na kufa, poleni sana ndungu zetu wa chadema.

ahsante kwa taarifa kwa mujibu wavyanzo vinavyoaminika vinasemaje kuhusu dr. slaa
 
Mabadilikoooooooo......!

Mtoa mda anaota nadhani.
 
hoja yako sijaona mantiki yake mkuu mwl nyerere alisema mabadiliko ya kweli utayapata ndani ya ccm na sikwingineko lowassa hawezi kureta m,abadiliko yoyote ndani ya nchi hii maana tayar yeye ni mwizi na fisadi leo ataweza vip kupigania haki za wanyonge miaka yote alikua waziri mkuu amefanya nini zidi ya kulitia hasra taifa letu mwaka huu ndio nguvu ya chadema inakufa na mtabaki kulaumiana milele rais wetu ni magufuli tu no one else
View attachment 285694

pia mwalimu huyo huyo alisema mtu anayetumia fedha kwa nguvu zote kutaka kwenda ikulu ni wakuogopwa kama ukoma .
Mahali pengine alisema rais bora atatoka ccm mkuu nukuu hizo hujaziona ?
 
Back
Top Bottom