Mzee Linda ,Linda Historia yako!

Mzee Linda ,Linda Historia yako!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,098
Reaction score
10,937
Mzee Pinda ,wewe Ni mstaafu ambaye unaonekana upo mstari wa mbele kutuliza upepo wa Tundu Lissu .
Ushauri wa Bure ...Kama Hawa vijana walikuliza Bungeni kwa hoja nyepesi enzi zile.! Nakushauri mwaka huu Uchaguzi kaa pembeni.mashambulizi makali yanaeleezwa kwa Magufuli na sio CCM!
Hii inatokana na ukweli kuwa JPM amekuwa ndio Chama na Chama Ni Yeye,
Mwachieni ajibu mwenyewe...mliposhauri mliambiwa muache kimbelembele na kuwashwa!
Mwachieni abebe msalaba wake!
Kwani Nini Bwana ....KANU,UNIP ziko Wapi...mbona maisha yanassonga!
 
Halafu Pinda atataka atunziwe heshima yake kama anashindwa kuuona ukweli?
 
Usalama wa Taifa kitengo Cha siasa huyu mzee ndio idara ndogo iliyobaki ndani ya TISS ambayo bado wanaamini CCM itashinda uchaguzi huu

Hata pamoja na kutengwa na vigogo ndani ya idara.

Uchaguzi wa mwaka huu Lissu atawashangaza Sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom