Mzee kipara afariki Dunia

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
3,716
Reaction score
2,218
Swebe amethibitisha kutokea kwa kifo cha msanii saidi fundi maarufu kwa jina la mzee kipara. Source east afrika radio.
 
Muigizaj nguli MZEE KIPARA AFARIKI DUNIA.
R.I.P.BABU
 
RIP mwenyezi Mungu amweke mahali anapostahili
 
Aliyekua msanii wa kaole group al-maharufu mzee kipara amefariki dunia leo.mazishi yanafanyika kigogo

Source:Swebe akihojiwa na Supamix EA Radio
 
R.I.P

yaani wasanii wameshindwa kusaidia maisha ya huyu mzee?
 
dah huyu mzee namkubali sana R.I.P mzee Kipara
 
R.I.P

yaani wasanii wameshindwa kusaidia maisha ya huyu mzee?



 
Mungu amrehemu, mzee huyu alikuwa ni kati ya wasanii wa ukweli wa kizazi chake.
 
Kazi ya mungu...poleni wafiwa
 
R.I.P mzee Kipara
alikuwa anapatia sana kuigiza kama mtu mwenye msimamo mkali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…