only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,342
- 2,528
Katibu mkuu wa CCM ndugu Kinana amesema kuwa atawaita waziri wa kilimo mbele ya kamati kuu ya CCM kwasababu ya uzembe na kutotenda kazi sawasawa. Wakiwa ziarani mjini Namtumbo Nape aliendelea kusema haiwezekani mawaziri wakae DSM wakati wananchi wanaangaika na matatizo lukuki ya Kilimo hasa pembejeo na mbegu. Nape alimwambia mzee kinana ni bora wamfukuze ila yeye ataendelea kusema ukweli.
My take:
CCM waache kuwachezea watanzania, ni huyu huyu Nape alitoa ahadi kama hii kule Musoma kwenye migodi ya dhahabu, mpaka leo hakuna kilichofanyika. Tumechoka kusikia watawala wakilalamika kama sisi, tunataka mabadiliko ya kweli.
Source: ITV