Mzee Kikwete, leo ndiyo leo; msituangushe

Hao wote ingetosha tu kuwaweka kwenye group moja la wachumia tumbo au wapigaji. Kuliko kujishosha kuandika orodha ndeeefu
 
Tunataka atakae shikilia pale alipoishia magufuri, tulisha zoea kuchapa kazi tulisha zoea kulipa kodi, teyar tunajua sisi ni matajiri na vijana wamejityuni kukaa na kuchapa kazi hivyo hatutaki kurudi nyuma tunahitaji atakae tupeleka mbele zaidi na Sio kurudi nyuma
Kwani kuna kiongozi ashakwambia usichape kazi?
Au nyie ndio wale wanaendeshwa kama punda mpaka bakora
 
Tunataka mwanzo mpya. Utakaotambua nchi ni yetu sote. Utakaotambua tuna janga la Corona. Utakaotambua katiba mpya ni agenda yetu muhimu.

Mwanzo utakaotambua maendeleo ya watu nayo ni muhimu tena zaidi ya maendeleo ya vitu.
Kama huo mwanzo mpya utaleta pesa home na familia yangu watasoma bure na hospital bure basi nautaka
 
Umebadili msimamo sasa.
Sasa kwanini uliikuwa unamlazimisha marehemu aweke lock down?.
KWELI MAISHA BILA UNAFIKI HAYAENDI
Barakoa na social distancing pia kutambua ni janga la dunia inatosha sana mkuu.

Wewe huoni hivyo?
 
Kwa hivyo mwandosya ni mzee pekee! Na huyu Abdulhaman kijana ni yupi? Au wakusudia comrade AbdulRahman kinana

Hausomeki mkuu. Hebu rudia kusoma kujiridhisha ulitaka kusema nini.

Kumbuka list hiyo ni ya watu ambao wako CCM, hawakuwa karibu na Magufuli, wengi wao walijaribu kugombea urais.

Wengi wao kwa wakati fulani wametofautiana na Magufuli hadharani.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Samia hawawezi hao watu.
Tuseme ukweli.
Na akisema akaze BASI WATAMCHUKIA.
Huo mtandao ni mkubwa hauwezi na hata marehemu mwenyewe Hakuwamaliza.
Hii nchii ione hivi hivi.
Kilichompatia nguvu magufuri ndio kitampatia nguvu samia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom