Na bado,Polepole una nongwa ,,mzee wetu kaona akae kimya
Leo atamtetea mke wake...aajhh mke wao...!!Polepole una nongwa ,,mzee wetu kaona akae kimya
Mmeishaingia kwenye mfumo. Poleni sana.Polepole una nongwa sana mzee kaona yasiwe mengi akae kimya
Hataongelea nini kwa mtu aliyekuwa sio mwanamtandao?Polepole una nongwa sana mzee kaona yasiwe mengi akae kimya
wakati yeye ni rais,marehemu alikuwa mbunge wa kawaida,maspika walikuwa ni samuel sitta na anna makinda,hivyo hawezi kuwekwa kwenye ratibaPolepole una nongwa sana mzee kaona yasiwe mengi akae kimya
Siyo sababu hata kidogo.wakati yeye ni rais,marehemu alikuwa mbunge wa kawaida,maspika walikuwa ni samuel ditta na anna makinda,hivyo hawezi kuwekwa kwenye ratiba
Ndio sababu usibishe bila kuwa hoja,angeongea kueleza nini,kwenye suala ambalo hana historia nalo?Siyo sababu hata kidogo.
Apunguze kiherehere alisha maliza yake 10 akae pembeni anapenda sna dili huyu mtuPolepole una nongwa ,,mzee wetu kaona akae kimya
Bora akae kimya, maana siku za karibuni amekuwa akiongea vitu vya ajabu ajabu.Polepole una nongwa ,,mzee wetu kaona akae kimya
Kule Kwala alitumia itifaki ipi kuudanganya umma kuhusu Ridhimoko ?Ni itifaki tu
kwala ni kwenye mkoa aliozaliwa,alikokulia ana haki ya kuongeaKule Kwala alitumia itifaki ipi kuudanganya umma kuhusu Ridhimoko ?
Ana haki ya kudanganya pia ?kwala ni kwenye mkoa aliozaliwa,alikokulia ana haki ya kuongea
Alikuwa naibu Spika wa Anna Makinda. Njoo na utetezi mwingine.wakati yeye ni rais,marehemu alikuwa mbunge wa kawaida,maspika walikuwa ni samuel sitta na anna makinda,hivyo hawezi kuwekwa kwenye ratiba
kipi alidanganya?Ana haki ya kudanganya pia ?