Ushamkumbuka mapema yote hii?? Nabado ndo kwanza N'gwe ya kwanza, mpaka zifike tano... Mtakoma!!!Kwakweli sikua na mapenzi na KIKWETE,,,ila kwa hali ya nchi ilivyo natamani arejee IKULU hata Kesho.
Baba tunakukumbuka.
walisema wewe ni smile face ukawaletea tingatinga sasa sijui nini kinawaliza.View attachment 453487aidha, anawatakieni heri ya mwaka mpya na maisha yenye furaha
Na member WA JF anapita Kila siku kuona mwaisomaje nambajk akisoma comment kama hizi atakuwa huwa anacheka sana
Tutakoma Mkuu.... Serious.Ushamkumbuka mapema yote hii?? Nabado ndo kwanza N'gwe ya kwanza, mpaka zifike tano... Mtakoma!!!
Yaaani nimecheka hadi watu wakaniona chizi. Dah,Mmoja aliitwa Kaya
Mwingine akaitwa Pombe
Sasa nimeanza kuelewa kwa ni ni Bob Marley alikuwa akila Kaya lakini hanywi pombe!
Kaya dawa!
mi sikuwahi kusikia enzi za kikwete watu wakimmiss mkapaHata huyu aliyepo sasa akimaliza , miaka yake kumi (10), mtamkumbuka na mtamiss, watanzani ndio walivyo sijawahi kuwasikia wakimponda kiongozi aliyemaliza muda wake.
tena kwa sote nakumbukaga ule wimbo wetu wa mwaka unaosema tumejipanga mwaka huu mtaisoma ilikua masikhara lakin sasa naona kweliTutakoma Mkuu.... Serious.
Mimi na wengine wengi tulisikia.mi sikuwahi kusikia enzi za kikwete watu wakimmiss mkapa
Yaani hawa jamaa zetu walivyokuwa NEGATIVE na JK akila nyama ikaonekana kwenye TV/MITANDAO basi wao watatangaza kuwa Tanzania ni nchi ya VEGETERIANS.JK ni Rais aliyefanya makubwa sana nchi hii. Sema kuna watu mliaminishwa au mlilishwa vibudu hasa kwenye vigango huko na nyie mkaingia mazima. Tizama mabarabara yalivyofunguka kila kona. Tazama majumba yalivyojengwa, tizama irrigation schemes zilivyoanzishwa, tizama watu walivyopokea mikopo ya masomo, tizama vyuo vilivyoshamiri, tizama utalii ulivyonawiri, tizama mahusiano ya kimataifa yalivyokuwa juu, ndiye Rais pekee aliyethubutu kuja na chanzo kipya kikubwa cha kuzalisha umeme (kinyerezi gas plant), tizama jengo jipya la MOI, tizama hospitali ya mlonganzila, tizama taasisi ya moyo, tizama kitengo cha Emergency Muhimbili, tizama juhudi za kupambana na malaria, tizama dawa za bure za ARVs, tizama chanjo za watoto, tizama shule kila kata. Chuki jambo baya sana. Hapana, hii ni adhabu kwenu watanzania na sharti muipokee.
Anko magu hebu ongeza spidi kidogo. Mwana kindakindaki Ritz hebu ongeza na kashata hapo.
Hata mm jk nimetokea kumpenda ghafla tena nampenda bure huyu baba jamanijk akisoma comment kama hizi atakuwa huwa anacheka sana
Kwani naye anaisoma namba kama sisi?
Tena kwa nguvu zote2020
Tume huru ya uchaguzi idaiwe Tanzania